Linapokuja suala la Wachezaji wa Kiengereza hapa Kwa Man United na Liverpool basi ushauri wa pekee kwenye Bench lenu la ufundi basi asiwepo Muengereza hata mmoja ndiyo mutafanikiwa...
Lakini kosa la kuweka Malengend kina OGS, Rio au Legend wenu yeyote basi mutalia kama tulivyolia sisi.
Nakumbuka kipindi kidogo tu alichokaa Hodgson na Dalglish kwenye timu yetu basi yalitukuta ya waingereza karibia wore kwenye kikosi. (Carragher, Flanagan, Johnson, Charlie Adam, Henderson, Downing, Carroll, Lambart, Gerrard, Sturridge, Wisdom, Ibe, n.k.
Hawa makocha Malegend au Wenye asili ya GB wanashida sana hata kana ni Legend.
Na ndiyomana naomba kila Siku Gerrard asijekuwa kocha wa Liverpool