Man City wana structure ambayo ni very favourable kwa kocha yeyote kufanya kazi yake vizuri ukilinganisha na competitors (Liverpool,United,Arsenal,Chelsea )wenzake kuanzia owner Sheikh Mansour + Soriano na Txiki bila hawa Pep asingefundisha City
PSG wana owner kama City lakini wanastuggle kufanikiwa ulaya sababu hawana competent people (like Txiki & Soriano) kwenye management yao
Owner kutoka US priority yao ya kwanza ni faida nje ya uwanja ni rahisi Woodward ku-approve kununua wachezaji kama Bastian,Di Maria,Depay,Zlatan,Pogba,Sanchez kwa sababu kashafanya mahesabu yake timu itauza sana jezi