Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,859
Martial mwepesi kukabika ana mazara madogo sana kule kushoto mabeki wengi wameshamuelewa.OGS anataka kumuacha Martial
Joel Glazer amemwambia huwezi kumuacha, huyo ndio Pele wetu [emoji23][emoji23]
Hivyo ndio namna timu yetu inavyoendeshwa
Hapo inaonesha MU inaendeshwa km klabu zetu za kibongo