Tuna kocha wa kuweza ku-develop hao wachezaji ?Maguire,Andy Robertson wote hawa walisajiliwa kama low profile players lakini mwishoni wameturn out kuwa watu wakali
Hatuwezi tukadeal tu na high profile,ambao wengi wanaokuja united recently wamechemka
Tumix mix..
That another question??Tuna kocha wa kuweza ku-develop hao wachezaji ?
For now United is too big for OGS lets give him time,he has been in charge for half of the season.That another question??
What do you think we should do?
For now United is too big for OGS lets give him time,he has been in charge for half of the season.
Poch was the right candidate and available to rebuild this team he tick almost every box
Game ya juzi first half Spurs alikuwa anatolewa but Pochettino alikuwa flexible akamuingiza "big man" Fernando Lllorente wakawa wanampigia mipira ya juu akawachanganya defence ya Ajax Spurs wakashinda (hii approach Mourinho aliitumia kwenye Uropa final)That another question??
What do you think we should do?
Hii timu yetu ilibidi kwanza ipate kocha fundi wa mpira ambaye sio "Yes man" and then mambo mengine yafuate..silioni hili kwa OGS pia but ngoja tuone maybe he can prove me wrongGame ya juzi first half Spurs alikuwa anatolewa but Pochettino alikuwa flexible akamuingiza "big man" Fernando Lllorente wakawa wanampigia mipira ya juu akawachanganya defence ya Ajax Spurs wakashinda (hii approach Mourinho aliitumia kwenye Uropa final)
HAKUNA kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. Hilo ndilo linalowahusu Man United. Lakini, hilo sio tatizo kubwa linalowakabili, kwa hali ilivyo kwa sasa hawaonekani kama mambo yatatumia ndani ya miaka ya karibuni.
Shida haijulikani ni wachezaji au makocha? Hakuna mashaka wachezaji wataletwa kwenye dirisha lijalo la usajili wakati Ole Gunnar Solskjaer atakapohitaji kukijenga upya kikosi chake, lakini suala la wachezaji kuletwa limeshafanyika sana huko nyuma na mambo yamegoma kukaa sawa.
David Moyes, Louis van Gaal na Jose Mourinho wote walipewa pesa za kusajili, zaidi ya Pauni 600 milioni zimetumika tangu alipoondoka Sir Alex Ferguson. Lakini, hakuna nafuu, mara ya nne katika miaka sita tangu Ferguson alipoondoka, Man United inamaliza ligi nje ya Top Four.
Hilo ndilo walilostahili. Kwenye mchezo wao dhidi ya Huddersfield hawakuonekana kabisa kuwa na nia ya kutaka kushinda mchezo huo ili walau kuendelea kwenye mambambo ya kuwamo kwenye Top Four.
Man United imeshindwa kuandikisha ushindi mbele ya timu ambayo imepoteza mechi zake 22 kati ya 24 zilizopita. Lakini, pengine wakati mchezo huo unafanyika kulikuwa na timu zinazofanana tu viwango.
Sawa Huddersfield wameshuka daraja, lakini kwa mwendo ambao Man United ilikuwa ikienda nao, ulikuwa unatishia kwelikweli. Kushinda mechi mbili kati ya 11 za karibuni, hicho si kiwango cha kuvunia kabisa kwa Man United.
Hali ni mbaya na haionekani itakwisha lini. Maisha yamegeuka kwa haraka sana. Siku zimekwenda kasi sana kwa kocha Ole. Mechi zake 11 za mwanzo, alishinda 10 na kutoka sare moja tu.
Kwa wakati huo, Arsenal, Chelsea na hata Tottenham wote walionekana wataachia tu zile nafasi zao wanazoshika kwenye msimamo wa ligi.
Ilifika wakati Man United hadi waliingia kwenye ile Top Four na kuonekana kama mambo yangemalizika hivyo. Kufumba na kufumbua, mechi 11 za karibuni, Ole ameshinda mara mbili tu, sare mbili na vingine vyote vichapo. Man United imefungwa na timu kama Wolves mara mbili. Imefungwa na Everton 4-0. Wamefungwa na Watford na West Ham.
Ni aibu.
Kitu kibaya, kwenye mechi hizo hakuna hata moja ambayo hawajaruhusu wavu wao kuguswa. Huo ni mwendo wa ovyo zaidi kuwahi kuutembea kwenye maisha yake ya kisoka tangu miaka ya sabini huko.
Kama utakuwa umeitazama Man United kwenye mchezo wao na Huddersfield basi bila shaka utakuwa na matatizo milioni moja yanayohitaji kupatiwa utatuzi kwenye kikosi hicho. Man United imemegukameguka.
Huwaoni kuwa na mpango wa kutafuta goli, kuwa na mpango wa kuzuia wasifungwe.
Alexis Sanchez amekosa maajabu. Paul Pogba amekuwa wa aina ileile licha ya kugongesha mwamba mara mbili. Marcus Rashford amepoteza shabaha yake ya goli, naye anahitaji nafasi nyingi kufunga mara moja.
Hayo ndio mengi yanayoigharimu timu hiyo. Imekosa huduma ya wale wafungaji hatari kama alivyokuwa Robin van Persie kwenye kikosi chao.
Kwenye ligi ya kisasa, unahitaji kuitumia vyema kila nafasi inayopata kwa sababu hutazamii kuona zikipatikana nyingi ndani ya mchezo mmoja. Hayo ndio maisha magumu yanayoikabili Man United kwa sasa. Yanahitajika mabadiliko makubwa.
Ndio maana Jose juzi, akichambua kutolewa kwa Ajax alisema football game is a sport battleGame ya juzi first half Spurs alikuwa anatolewa but Pochettino alikuwa flexible akamuingiza "big man" Fernando Lllorente wakawa wanampigia mipira ya juu akawachanganya defence ya Ajax Spurs wakashinda (hii approach Mourinho aliitumia kwenye Uropa final)
Nadhani United ni club kubwa sana kwa OGS,Tuna kocha wa kuweza ku-develop hao wachezaji ?
One of low profile names signings? View attachment 1093212
Mashabiki wa man u wanataka mafanikio ila kwa njia ya mkato sana sijajua kama mafanikio huja kwa kusajili majina makubwa peke yake na fantastic coach bila kujenga chemistry ya team?Nadhani United ni club kubwa sana kwa OGS,
Lakini approach ya kusajili majina madogo inaweza msaidia kocha kukua na timu taratibu
Baada ya muda ataweza kuvaa viatu vya kuifundisha club ya United
Apewe muda
Maybe Ed contacted him before appointing OLE.For now United is too big for OGS lets give him time,he has been in charge for half of the season.
Poch was the right candidate and available to rebuild this team he tick almost every box
Mashabiki wa man u wanataka mafanikio ila kwa njia ya mkato sana sijajua kama mafanikio huja kwa kusajili majina makubwa peke yake na fantastic coach bila kujenga chemistry ya team?
Ilimchukua miaka miwili Callo Anceloti kuchukua champions league pale Madrid lakini iliwachukua miaka saba kutengeneza team ya kuchukua cahmpions league mfululizo Mara nne in five years
Ilimchukua misimu mitano man city kujenga team na kuanza kuchukua ubingwa wa epl tu lakini Leo mwaka wa Tisa hawajawahi hata kufika nusu fainali ya UEFA wala Europa.
Huyu Mauricio Pochetino huyu hajawahi hata kutwaa kombe la mbuzi katika career yake Tottenham amekaa msimu wa tano sasa achievement yake kubwa ni kushika nafasi ya pili kwenye EPL na kufika finali UEFA msimu huu.
Tusiwe na haraka kiasi hicho team iko katika wakati ambao mashabiki tunapaswa kuwa na subira sana ijengwe taratibu siyo kwa kufanya ukusanyaji wa players wasio na matumizi kama PSG.
Ole hata mwaka hajamaliza tunaanza kujudge uwezo wake katika kikosi ambacho manager yoyote angeweza kustruggle nacho ?
Unapomlaumu Poch kaka miaka 5 bila ndoo ukumbuke it took Alex Ferguson 6 years to start winning something
Ukame fc , 30 years is loading...Tar 1 mkaishangilie tena Tottenham kama kawaida yenu wazee wa kujipendekeza wazee wa kujikombakomba kwa wanaume
Maybe Ed contacted him before appointing OLE.
1 year into a new 5 year contract
New stadium finally finished
Great squad of players
Team improving year on year
There’s no way he would leave all this for another English club .
Wengine ananunua kwa kubadilisha wachezaji. Pia fedha zingine atazipata kwa kuuza Amina Lingard, Martial, Pogba, Young, Alexis nkNew signing 6????
Mkuu umewahi kulitembelea soko la wachezaji la Siku hizi lakini?
Kamchezaji kama Di Ligte aliyekuwa mwisho kuchezea ligi ya Wachunga Farasi kule uholanzi unajuwa kasimama na £ ngapi?
Kwa Market ya sasa OGS kupewa £300m usidhani kama anaweza kupata hao wachezaji 6.
Mchezaji wa Kushindania Makombe kwasasa anaanza na £75m.
Au afanye kama Klopp kunuwa cheap option za kina Mane, Salah na Robertson then aboreshe.
Lakini hapo atahitaji misimu miwili au mitatu kuwaboresha jambo ambalo Man U hamuwezi kulivumilia.
Hakuna world class manager ambaye haspend mkuu....Anceloti sawa lakini na yeye anapenda kuspend sana kama Mourinho tu