√Man city wanamfukuzia Bruno Fernandez na wamefikia vizuri..timu yenye De bruyne,Bernado Silva,Gundogan,Silva na bado wanachukua kifaa kingine..Kimefunga goli za kutosha kama kiungo kushinda yeyote Europe
Hivi sisi tumelogwa na nani??
Hii timu yetu mbona inaenda kuwa ya kichoko hivi??
Bullshit
Kuna habari kuwa Man City tayari wanamsajili Bruno Fernandes√Man city wanamfukuzia Bruno Fernandez na wamefikia vizuri..timu yenye De bruyne,Bernado Silva,Gundogan,Silva na bado wanachukua kifaa kingine..Kimefunga goli za kutosha kama kiungo kushinda yeyote Europe
Hivi sisi tumelogwa na nani??
Hii timu yetu mbona inaenda kuwa ya kichoko hivi??
Bullshit
Wewe ulisemaje kuhsu Chelsea?Haha...kama namuona Mou anavyosikitika jnc bodi ilivyomuonea bure kumuhukumu pasipokujua janga ni aina ya wachezaji walio nap
Uliandika ukiwa umelewa au ulikuwa unakimbizwa..??Mkuu arsenal ana options 2
Moja bado anaweza kuwafikia Chelsea na tot
Ambao mech za mwisho wana Everton na lei
Pili. Anaweza kupitia Europa
Umeona utofauti sasa ,
Mkuu unacheka Conte kuifunza Manure ushangai Ole kupewa mkataba.Binafsi naona Ole hana uwezo wa kuijenga hii timu tena,hata ukiangalia sub zake unaelewa ni kama anacheza kamari tu.
Ole aliharibu tangu alipofika na kuanza kupalilia kiburi cha Pogba na kumfanya Rashford ajione Messi.
Pia wachezaji wote ni kama hawana nia ya kuichezea MUFC.
Swala la kuijenga timu ni bora lianze na kutafuta kocha mzoefu.
Hata Conte anataka kuifunza MUFC.
Kwahiyo wewe unaona nini hapo,au lugha hujui?Uliandika ukiwa umelewa au ulikuwa unakimbizwa..??
Hata tusicheze Europa.Haha dirisha la usajili lina miezi mitatu mkuu au unataka na wolvehampton watutoe nafasi ya sita ?
Hata kwa mkopo watolewe.Katika wachezaji 20+ , 7 tuu ndio wanastahiri kubaki! tulipo ni pabaya
Anyway, wachezaji watakao ondoka ni wale wanaouzika, watu kama young, jones, smalling etc wataendelea kuwepo.
Na hili ndio linaturudisha nyuma, unaleta wachezaji wazuri wakiingia dressing room anakutana na jones( kaongezewa mkataba wa miaka 4+1) ambae anakula pauni 120,000 kwa wiki, eti huyu ndio core ya timu. Upuuzi kweli
Hawa waingereza dawa yao ni kufukuza ukitegemea waombe kuondoka wenyewe kama fellain au blind au Valencia utasubiri sana cause hapo ndio wamefika home. Akicheza mechi mbili msimu mzima poa tu kwake.
Hii timu inauzi sana,
Inamaana Barca, Bayern, Madrid, Man City hawaioni hiyo miezi mitatu?Haha dirisha la usajili lina miezi mitatu mkuu au unataka na wolvehampton watutoe nafasi ya sita ?
Toba!!!!!Kuna mashabiki walianza kupiga hesabu za kombe la epl msimu huu.
Astakhafilulah!!!Kuna wale waliropoka tutachukua na uefa kabisa ..tena walivyomtoa PSG ndo waliwehuka kabisa..hahahahaha
Best comment of the centuryShida imeanzia hapa Durkin, Dean, Riley, Stiles, Wiley, Clattenburg, Atwell, Webb, Atkinson, Dowd and Winter are no longer on the payroll.
Shida sio Wachezaji bali ni hao jamaa kuondoka katika system yenu ya Malipo
Hata ukitaja mchezaji mmoja mmoja hauna wachezaji wazuri si tu zaidi ya Liverpool hata zaidi ya Wolverhampton haunaUnachoongea ni sawa Manchester United tuna wachezaji wazuri kuliko Liverpool lakini Liverpool wana timu nzuri kuliko sisi sababu management wamempa kocha full authority kwenye maamuzi ya kiufundi na kusimamia nidhamu ya wachezaji na wanajitahidi kununua wachezaji ambao wanafit kwenye profile ya timu yao.Klopp aligundua wana tatizo la defence (GK,FB,RB,CBs) aliamchezesha Milner kama RB ,akawanunua Karius na Robertson baadae Karius akachemsha akaamua kuwanunua Allison,Van Djik na kumpromote Trent-Anord baada ya Clyne kuumia so ndani mwaka mmoja Liverpool hawana tena tatizo la defence baadae akahamia kwenye kiungo akawaleta (Keita,Fabinho,Shaqiri) now midfield yao imeshatulia they just need back up for Mane,Salah,Firmino
Niliwahi kusema wachezaji wengi waliopo hawastahili kuchezea United sio sababu ya kiwango tu but their ego & attitude sio ya kuchezea United kabisa .United ilishafungwa 6-1 against City,5-0 against Chelsea but wachezaji walikuwa wanapambana sio hawa ambao akiwekwa benchi utasikia kesho anataka kuondoka
Pia tumesajili wachezaji ambao ni majeruhi hawawezi kucheza mechi 7 mfululizo bado tunawalipa fedha nyingi na hakuna wanachofanya uwanjani
Mfa maji.....Kwahiyo wewe unaona nini hapo,au lugha hujui?
Jitahid uingie fainal nikunyoe
Hahahaha√Man city wanamfukuzia Bruno Fernandez na wamefikia vizuri..timu yenye De bruyne,Bernado Silva,Gundogan,Silva na bado wanachukua kifaa kingine..Kimefunga goli za kutosha kama kiungo kushinda yeyote Europe
Hivi sisi tumelogwa na nani??
Hii timu yetu mbona inaenda kuwa ya kichoko hivi??
Bullshit