Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"Huddersfield hawana kabisa sababu ya kuwafunga"

Naomba matokeo
 
OFFICIA.....OFFICIAL......OFFICIAL
MANCHESTER UNITED tutakuwa nao EUROPA LEAGUE Next season hahahahahahahahah
 
Uwezo tunao, Huddersfield wameshashuka daraja, watacheza kukamilisha ratiba. Cardiff city watakuwa wameshashuka daraja pia kwa ushindi wa Brighton Jumapili ya wiki hii, nao watacheza kukamilisha ratiba.
Hata Cardiff wanaweza wakatufunga Old Trafford
 
Mechi na Cardiff city OGS ajaribu kuingiza timu ya chipukizi tupu. Aachane na Hawa wachezaji wote. Amuache MC Tominay tu na ndiyo awe captain.
Hao nao hakuna kitu. So unamwona Chong alivyo nyoronyoro
 
Timu imeshajifia kazi mliobakinayo nyinyi ni kuropoka tu
 
Man utd have never win last away game since 2011/2012
Inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…