Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nafasi bado ipo lakini si kwa wepesi huo
 
Ndoto nzuri sana
 
Tumebakoza mechi mbili, tukishinda zote tunafikisha 71 points. Arsenal akipoteza mechi moja ataishia 69. Chelsea akipoteza mechi moja ataishia 71 na Spurs akipoteza mechi zote mbili atabaki na 70. Je, nafasi ya top four kwetu IPO?
Je tuna uwezo wa kushinda hizo mechi mbili?
 
Tumebakoza mechi mbili, tukishinda zote tunafikisha 71 points. Arsenal akipoteza mechi moja ataishia 69. Chelsea akipoteza mechi moja ataishia 71 na Spurs akipoteza mechi zote mbili atabaki na 70. Je, nafasi ya top four kwetu IPO?
Chelsea akipoteza 1, atatuzidi kwa tofauti ya magoli mengi tu

Spurs hawezi kupoteza mechi zote mbili, hilo haliwezekani

Arsenal akipoteza mechi moja, tutakuwa mbele yake nafasi ya 5 na sio ya 4, ni ya 5

Hesabu zote hizo, si tushinde mechi zote mbili

Practically ni kama, leo rasmi tumejitoa kwenye mbio za top 4
 
Tatizo tutapata wachezaji wazuri wakati hatushiriki UCL?
 
I forget OGS would persistently keep Degea in the goal, despite being a match winner to opponent clubs
After 3 weeks

1 win (with 2 penalt goal)
1 draw
2 defeat

3 goals scored (2 penalt)
8 goals concede

4 point out of 12
 
Tunaogombania top four wote sisi wachovu sana..Arsenal naye kashapigwa
Hahaha mkuu inafurahisha sana.
Ila kwa kweli naona timu izi zimejawa na pressure sana.
Haiwezekan ikawa hivi.
 
Tumebakoza mechi mbili, tukishinda zote tunafikisha 71 points. Arsenal akipoteza mechi moja ataishia 69. Chelsea akipoteza mechi moja ataishia 71 na Spurs akipoteza mechi zote mbili atabaki na 70. Je, nafasi ya top four kwetu IPO?
Nimecheka sana mkuu.
Yan ww unawazia wenzio wapoteze tu
 
Jamaa anapotea
 
Wakati tunacheza Uropa tuliweza kuwasajili Pogba,Zlatan,Bailly na tukiwa tunacheza Champions league tukawasajili Grant,Fred na Dalot
Tatizo kubwa ni kwamba ukiwa ktk hali hiyo inabidi utumie extra force kuwapata wachezaji wazuri na hakuna namna nyingine zaidi ya kuwashawishi kwa mishahara mikubwa sana,kitu ambacho baadae kinageuka tena kuwa ni sumu ndani ya kundi la wachezaji. Mfano sasa hivi kuna wachezaji wanataka mishahara mikubwa kwa sababu ya Sanchez Na pogba. Na hiyo yote ni kutokana na kuona kwamba jamaa wanalipwa hela nyingi Na work rate yao ni ndogo kiasi cha timu kutopata matokeo mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…