Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah natamani sana kweny hii game vs Chelsea Mournho angekuwepo...yule jamaa angethibit watu fuln vizur sana. Hata game ya city Mou angekuwepo, angenitolea droo tuu
 
Kuna watu walikuwa wanamsakama Jose alipoingiza beki kwenye game anayoongoza na anahitaji ushindi kwa udi na uvumba

Hapa naona anatoka Aguero anaingia Jonhstones

Anatoka Sterling anaingia Otamendi

Timu ina Kompany, Laporte, Jonhstones, Otamendi, Zichenko, Walker

This is called Pragmatism
Tulikuwa na hulka tu ya kumuona Jose' yupo wrong kwenye kila kitu..kitu ambacho sio kweli

Pep kaingiza mabeki wawili sijui watatu as substitution
 
Pasi ya hela hiyo, halafu kuna watu wanasema Lukaku hana control
 
Screenshot_2019-04-28-18-43-34.jpeg
 
Naona Chelsea wametake control ya game, tempo ile ya dakika za mwanzo tungeimaintain uhakika wa ushindi ungekuwa mkubwa
 
Back
Top Bottom