SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Ndiyo, ya ligi kuu. Ila yote aliyachukua ligi ikiwa inaitwa daraja la kwanza. Tokea ianze kuitwa Epl(Primier Ligue) hajawahi kuchukua.
Ungesema Liverpool hana taji hata moja EPL na ManU hana 20 bali ana hiyo idadi ya EPL
