Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
blackbn 0-2 man utd dk 86 na sekunde 59!kudadadeki
Youngggggggggggggggggggggggggggg
Nadhani pale Man U wametumia Mbinu za Medani kupata alama tatu.
Nadhani pale Man U wametumia Mbinu za Medani kupata alama tatu.
dah...yaani manu naichukia kupita ccm lakini nawakubali sana wakishakaa kileleni,huwa hawafanyi makosa ...pressure kubwa sana iko kwa mancini na kuna kila dalili j'pili ijayo atachezea kichapo kwa arsenal au kuambulia draw tu...!