Kila mkiwa na matokeo mabovu mnamlaumu pogba anacheza pekeyake ? Au mnanfaninisha na messi na ronaldo ! Wale wajinga kina rashford,smalling,young,jones na lingard wanaopewa nafasi na kocha hata waharibu vp hamsemi !Lukak ameshakuwa heavy. Akiwa mwembamba anakuwa mzuri sana. Angalia akiwa everton.
Uzito umemuaharibu.
Pogba needs to go.. he has no loyalty.na hii tabia fergie aliiona mapema
Hata lukaku unamlaumu basi huyo rashford mechi kama tano sahv anaboronga tu mna muoverrate huyo angekuwa timu nyengine hata haanziKila mkiwa na matokeo mabovu mnamlaumu pogba anacheza pekeyake ? Au mnanfaninisha na messi na ronaldo ! Wale wajinga kina rashford,smalling,young,jones na lingard wanaopewa nafasi na kocha hata waharibu vp hamsemi !
Manure atalala gemu mbili ..za Chelsea na Man city zilizobaki atakufa na mtu uwanjani hahahahahahahahahHahHahahaKila timu ishinde mechi zake Na Manchester United ikiwemo nayo ishinde mechi zake.
Ujinga ni nini?
Ujinga ni pale Man u wanapoamua kumuachia City 3 points kwa makusudi ilimradi tu Liverpool isichukue ubingwa, mwisho wa siku Man City anakuja kudraw na leicester, Liverpool anatwaa ubingwa huku Man U akirudi Europa😂😂.
Kila mkiwa na matokeo mabovu mnamlaumu pogba anacheza pekeyake ? Au mnanfaninisha na messi na ronaldo ! Wale wajinga kina rashford,smalling,young,jones na lingard wanaopewa nafasi na kocha hata waharibu vp hamsemi !
Hapa tumwachie Mungu tu.....Hahahaha babu babuuu ..upooo?? tutabeba ubingwa kweli? Màan Man City amekaza kweli kweli ..uyo Manure ndo tunamtegemea naye ndo ivo tia maji tu..
Leo lawama zote kwa pogba nani asiejua mpaka anaambiwa mazungu na madrid yanaendelea vzuri ! Haya huyo rashford kaongelewa nini ! Walopewa mkataba mpya ni haohao kina young,jones,na smalling na badala ya herrera na de gea utaona hako ka heskey kenye speed ndo katapewa mkatabaLabda mkuu ww ndio haufuatilii. Ulaya lawama zinawaangukia sana akina young jones smalling na rushford pogba sio sana.
Kwa nn? Sababu wachezaji wa kiingereza hawana vipaji.
YNWA babu. Ubingwa wetu huuHapa tumwachie Mungu tu.....
Mancity anawachalaza,
Mnakutana na Chelsea mnagawana nafas ya 6&5
Then zinabak mech 2, Arsenal anakuwa anahitaji kushinda mech 1 tu, ya Burney home,
Cheltako na nyumbu mnaelekea futuhi
Both AC MILAN na LIVERPOOL hawajaweza kutengeneza business brand during their successful period. Man utd imeweza. Na kwa Woodward, still mufc can get more deals than man city liverpool and others. Pamoja na kusuasua kote lakini club ilizipita barca na madrid kwa hela. Now ofcourse kutakuwa na some effects kwenye deals anyways lkn sio true fans, Liverpool wanamiaka 26 hawajachukua epl, miaka minne ya kuspend mapesa kama mwenda wazimu hawajachukua hata ngao ya uingereza lakini uwanja wao unajaza mafans kuliko mabingwa wa uingereza wenye tajiri mkubwa wenye madeal makubwa (fake deals) wenye kocha “bora”, waloshiriki UEFA mara zote (tangu kuanza kuibgia top 4) man city, plastic fans tunawaita. Ata page yao ya insta ni disaster, 1 hour unakuta ina comment moja!!!!Uko sahihi lakini hiyo ina mwisho wake. Usiposhinda vikombe na ukawa nje ya UCL miaka nenda miaka rudi ultimately your fan base will be eroded and shrink. Waulize Liverpool au AC Milan
Nop, alishakuwa hachezi kwa misimu mitatu haonekano uwanjan na hana game time kiwango kinaapotea na unampoteza anasahaulika. A psychological punishment for those who dont play for the club but for money and fame.Huoni huu kuwa ni ukichaa??
Arsenal will sell more kits than man city, and besides, looks like puma wants to gain attention.Wamesaini na Puma, na wameachana na Nike...... Angalia hiyo attachment
Ni kweli City wana struggle hata kujaza uwanja wao ambao una uwezo wa kubeba mashabiki elfu thelathini na kitu (mashabiki wa United wanawatania kwa kuwaita Emptyhad badala ya Ethad) , lakini ni ukweli usiopingika miaka 5 au 10 iliyopita tulikuwa tukienda vibanda umiza au hata mtaani huwezi kukuta mtu amevaa jezi ya City lakini kwa sasa wapo, hivyo kwa sasa wanapata mashabiki na hiyo inasababishwa na performance uwanjani
Kwanza hivi unaweza vipi kutenganisha performance ya timu uwanjani na kuvutia mashabiki mashabiki? Real Madrid wana mashabiki wengi sababu ya mafanikio yao, Barca hivyo hivyo, Man Utd hivyo
Ipswich town, hull city, Levante, torrino, hawana fan base kubwa sababu hawana mafanikio uwanjaniView attachment 1078465
Basi tusichukulie kigezo cha watu kuvaa jezi kama kigezo cha mashabiki, miaka ya nyuma ulikuwa huwezi akakuta na shabiki wa City popote mtaani na mkabishana kwamba wao zaidi au vinginevyo. Sasa hivi humu mpaka wana Uzi wao, kwanini unadhani Udinese ya Italy au Huddersfield na Sunderland ya Uingereza hawana Uzi wao humu JF (mfano wa jukwaa ambalo mashabiki wanaweza kujikusanya)Arsenal will sell more kits than man city, and besides, looks like puma wants to gain attention.
Hao unaowakuta vibandani hizo jezi wanazonunua ni kutoka Nike au Mike? Mana mitaani watu wanajezi za timu tofauti, kuna wengine wanavaa sunderland ije kuwa mtu kavaa man city tena fake one?
United amepata biggest deal in EUROPE la adidas na miaka sita yote anasuasua. Kwa sasa business wise United ina prove kuwa ni brand kubwa nje ya mpira.
Unajua man city owners wanajaribu kupump pesa kwenye club ku avoid FFP. Sasa hio deal ya puma usikute kuwa ni ndogo ila owners wameongezea pesa juu yale. Ndio mchezo wao huo. Man city ilikiwa ina run on deficit lkn pumping money on fake deals ndio ikaonekana kuwa iko sawa na ndio maana uefa wakataka kufanya uchunguzi tena upya kwa man city baada ya leaks
Kwendraaaaaaaaaaaa. Hatushindi sisi.Sasa hapa Man U kwa haya matokeo ya Chelsea, Arsenal na Spurs nafasi bado wanayo.
Kesho Man City hii mechi ni ngumu kwake. Tofauti na wengi mnavyowaza Man U hawezi kumlegezea City hata kidogo. There's so much at stake, there's so much to lose.
Kesho naona Man U wakishinda pale OT.
Ole's at the wheel.
Cc: cute b
Mnashinda vizuri tu. Kwani nyie mlivyofungwa 4 na Eva Tonny ni kuwa hamkuwa na uwezo wa kuwafunga?Kwendraaaaaaaaaaaa. Hatushindi sisi.
Man city wale wametuzidi uwezo tutawezaje kuwafunga?
Acha kutujaza.
Ila siyo siri , mkikosa huu ushindi wengi wenu mtaugua.Mnashinda vizuri tu. Kwani nyie mlivyofungwa 4 na Eva Tonny ni kuwa hamkuwa na uwezo wa kuwafunga?