Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole akizembea kwenye usajili msimu ujao ataenda na maji.

Wachezaji wa kuwafukuza ni zaidi ya 10. Alete majembe ya kazi.

Mpaka sasa tulitakiwa tuwe na Sports Director ambaye ameshaanza usajili.

Beki ya sasa ni sifuri, tukiendelea nao msimu ujao hakuna kitu.

Morinho alitaka hela asajili majembe, Ed akamkatalia. Asipompa Ole hela ya kununua wachezaji, he should leave.

Ed should be sacked.
 
√KIMSINGI wachezaji na kocha they are not good enough..

√Sioni tukiprogress

√Timu imejaza waingereza wengi wasioweza mpira..Hivi huyu bernard wa everton si anamzidi Lingard mchana kweupe??

√KIMSINGI tuna timu mbovu kuanzia juu kwenye uongozi mpaka kwenye benchi la ufundi..

√Next season tupo Europa so hao masharobaro wakitaka kusepa wasepe..i don't even care anymore

√Fu.cking disgusting
Nishaanza kuona mzigo wa waingereza kwenye timu.
 
Ed hajui kazi kama david gill. David gill alikuwa na watu wake wanaenda kutafuta wachezaji huko. Kawaleta akina christian.. akina nani.. na wachezaj wengine wazur.. toka aondoke man u haijawahi kupata mchezaj mwenye kipaji halisi. Wanasajili majina tu..
Ole akizembea kwenye usajili msimu ujao ataenda na maji.

Wachezaji wa kuwafukuza ni zaidi ya 10. Alete majembe ya kazi.

Mpaka sasa tulitakiwa tuwe na Sports Director ambaye ameshaanza usajili.

Beki ya sasa ni sifuri, tukiendelea nao msimu ujao hakuna kitu.

Morinho alitaka hela asajili majembe, Ed akamkatalia. Asipompa Ole hela ya kununua wachezaji, he should leave.

Ed should be sacked.
 
Lindelof ndio our best CB this season ,Kama Woodward angekubali Jose asajili new defender sidhani kama Jones/Rojo bado wangekuwa bado wanachezea United
Tayari msimu huu tumeweka rekodi ya kufungwa magoli mengi kwenye EPL but Jose alimwambia Woodward timu inahitaji new defenders akamgomea
Tunahitaji squad nzima sahivi.

Wachezaji wengi wapo chini ya kiwango. Sio standard ya United.

Either waende kwa mkopo au wauzwe kabisa.
 
Huu ogonjwa uliwatesa liverpool kwa muda mrefu. Wanakombatia waingereza halafu timu inazid kudidimia. Waingereza vipaji vya msimu. Ni wachache sana hudumu.
Angalia city angalia liverpool.. baada ya kupunguza waingereza kwenye team leo wako top. wana perform
√KIMSINGI wachezaji na kocha they are not good enough..

√Sioni tukiprogress

√Timu imejaza waingereza wengi wasioweza mpira..Hivi huyu bernard wa everton si anamzidi Lingard mchana kweupe??

√KIMSINGI tuna timu mbovu kuanzia juu kwenye uongozi mpaka kwenye benchi la ufundi..

√Next season tupo Europa so hao masharobaro wakitaka kusepa wasepe..i don't even care anymore

√Fu.cking disgusting
 
Hilo ni tatizo kubwa kweli kweli team imekosa mipango na kibaya zaidi nadhani Ole anatupeleka kubaya sana.

Ole anamwabudu Pogba Hii ni hatari sana,afadhali Jose alikuwa guts za kumpiga bench huyu mshenzi wa viwango vyote.
Itahitaji misimu kama mitatu kuibadili hii United.

Nadhani wa kwanza kufukuzwa alitakiwa awe Ed Woodward.

Huyu ndo tatizo la kwanza pale United.

Hatukuwahi kuwa na shida na LVG ila akatimuliwa.

Jose alisema ukweli kuhusu kikosi, akatimuliwa.

Mpaka sasa tulitakiwa tuwe na Sports Director na usajili ulitakiwa kuanza. Ila papo kimya.

Unawaongezea mkataba Jones, Young na Smalling unawanyima mkataba Herrera. Mkataba wa DeGea haueleweki.

Ole akizingua kwenye usajili, msimu ujao ataoneshwa mlango wa kutokea mapema sana.
 
Ed hajui kazi kama david gill. David gill alikuwa na watu wake wanaenda kutafuta wachezaji huko. Kawaleta akina christian.. akina nani.. na wachezaj wengine wazur.. toka aondoke man u haijawahi kupata mchezaj mwenye kipaji halisi. Wanasajili majina tu..
D. Gill alikuwa anaangalia talent zaidi uwanjani kuliko mauzo ya jezi.
 
Huu ogonjwa uliwatesa liverpool kwa muda mrefu. Wanakombatia waingereza halafu timu inazid kudidimia. Waingereza vipaji vya msimu. Ni wachache sana hudumu.
Angalia city angalia liverpool.. baada ya kupunguza waingereza kwenye team leo wako top. wana perform
√Waingereza wazuri wapo wachache sana kama sterling..hawa akina Rashford,Lingard,Smalling,Jones,Young ni standard za hull city huko..
 
Manchester United hii haina Long termsproject wala nini Hakuna project ya pale
 
Back
Top Bottom