Kipi bora sasa, wabaki kwenye timu kama Man U wanapoendana napo kasi au wakapate mafanikio kwa furaha ya muda mfupi?
Tuombe uzima jamani
Coutinho siyupo huko Barca na siku sio nyingi kawapiga goli la kuunga mkono kauli ya CAG kua Bunge ni dhaifu. Kapanda thamani na tayari kaweka kwenye mpango ya muda mrefu ya BarcaHili swali wanaweza jibu vizuri hawa wawili coutinho na courtois
Narudi home bhana huu uzi tumebaki wenyewe mpaka naogopa sasa 😁😁Amen
Hahahaha babu babuuu ..upooo?? tutabeba ubingwa kweli? Màan Man City amekaza kweli kweli ..uyo Manure ndo tunamtegemea naye ndo ivo tia maji tu..Fagason aliyekuwa anaogopwa na marefa hayupo tena. Man U ndo ishakuwa historia... trust me...
Unaona mpira unaochezwa huko? Nikionaga hawa jamaa, basi nakataga tamaa. Sasa leo ndio kaongezwa jenkinson na mavroponos! Hatari sana.Tupo home ,uwanja utainama hata wewe ungewekwa ucheze
Tatizo mnaanza taratibu kuingiwa na ubahili wa arsenalTunahitaji squad nzima sahivi.
Wachezaji wengi wapo chini ya kiwango. Sio standard ya United.
Either waende kwa mkopo au wauzwe kabisa.
Bring eriksen jamaa anajua sana.Tunahitaji squad nzima sahivi.
Wachezaji wengi wapo chini ya kiwango. Sio standard ya United.
Either waende kwa mkopo au wauzwe kabisa.
Hahahaha noma ina amia kwako...Kimepiga shuti moja kipind cha pili
Coutinho siyupo huko Barca na siku sio nyingi kawapiga goli la kuunga mkono kauli ya CAG kua Bunge ni dhaifu. Kapanda thamani na tayari kaweka kwenye mpango ya muda mrefu ya Barca
Hahaha Ole wa Man united iliyoshinda karibu game saba mfululizo ni tofauti na Ole uyu wa sasa?Tumecheza kama tulivyocheza game ya Watford na West Ham,
Tofauti ni kwamba leo Everton hajapoteza nafasi za kufunga
Poor United, don't deserve to play UCL next season
Will regret to sign OGS instead of Poch
kwa muono wangu tatizo sio ED tena.Kwa jicho la tatu unaweza sema tatizo ni Ed Woodward.
Hapana sio kweli jamaa ajute kuondoka Liver kisa nini au toka aondoke liver nani kawin kati yao?Hio furaha ya muda. Jamaa anajutia kuondoka Liver ila kwa Liver ni afuen maana Mane na salah ndio wamezidi kuwa moto
Safari Ed ajiandae kupigwa chiniOGS tayari ana cheque yake, mkivunja tu mkataba mnamlipa ndefu!
New record in town
Hapana sio kweli jamaa ajute kuondoka Liver kisa nini au toka aondoke liver nani kawin kati yao?