Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manu mko ktk kipindi kigumu sana. Nyie ndio mmepewa jukumu la kuamua nani awe bingwa epl kati ya mahasimu wenu wawili.
 
He said finishing second with this team was one of his greatest managerial achievement

Wakati Ole anashinda zile mechi 7 mwanzo tukasema mbona Ole anashinda na wachezaji hawa hawa ambao Mourinho alisema wabovu
Ole alichobadilisha ni mahusiano kati ya kocha na wachezaji, mfumo ni ule ule, kupaki mabasi kama kawa na kutegemea counter attack ili washinde. Kwa Barca hiyo tactics ilifeli kabisa.
 
Ole alichobadilisha ni mahusiano kati ya kocha na wachezaji, mfumo ni ule ule, kupaki mabasi klama kawa na kutegemea counter attack ili washinde. Kwa Barca hiyo tactics ilifeli kabisa.
Mahusiano na wachezaji hayawezi kukufanya ukashinda vikombe while the players are average
 
Aisee Mkuu kumbe unampata huyu jamaa

Huwa anapovu kishenzi, utashangaa amemuita Hendoshoga, mara Klop sijui nini

Yaani huwa anatia huruma, unaweza ukazani kesho asubuhi anajinyonga
Nasubiri kwa hamu kukesha jukwaa la liver na ule msemo wako wa kuita wachezaji usiowapenda mashoga mara lawama kwa kocha.

Anyway ASANTE mdo mpira ulivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikua unaangalia wapi mpira hadi ukasema mechi zote mbili Barca hawakua wazr?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu itakayokutana na Ajax wajiandae tu kikamilifu, hasa mbele ni kama nyuki wasifanya makosa
Ajax Management
----------
Marc Overmars - Director of football
Edwin Van Der Sar - CEO
Danny Blind - Supervisory Board Member

--------

Ajax kufanya vizuri ulaya msimu huu sio Fluke ni mipango iliyoandaaliwa.

Si Ajax tu ni soka la Uholanzi kwa ujumla, si ajabu hata PSV next season akawa moto kama Ajax.
 
Endelea kujificha kwenye kivuli cha Liver.
Afu siku zote barca hawajawai kucheza mpira mzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man u haina tofauti na fulham au cardif.

Mziki wa UEFA muachie Klopp, Barca ataenda kupigwa mpaka achake.

Kiukwel japokuwa siipend Man U, lakin sikuona mpira wowote wa Barca, ni udhaifu wenu kama wa ndugai kushindwa kuwabana wahuni wale camp nou.
Uzr Waingereza na yaliyokua makoloni yake mmejaliwa kuongea ila Waispania kazi kufanya vitendo, ngoja tusubri muda ni mwamuzi mzr sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…