Pole ,waambie wajaribu tena msimu ujao labda tutakutana nao FA Cup ,wanashuka daraja
Bravo ManU!
Na kubebwa kumo.
Hivi hata mara moja moja mki appreciate mtapungukiwa nini?
Hope Chelsea hawatatuangusha leo. All the best
Ukistaajabu ya musa..
Naona mnasajili marefa siku iz...ongeren, gud timing indeed, manake uefa ndogo sucks indeed!
Utawapenda tu.man siwapendi kabisa lakini kwenye ubingwa bora manu kuliko man shity