Go Go Go Utd
Mmebebwa pale... kulikua na contact pale... Mancini will say something may be
Wametoka wapi tena hawa????
Game over. Three points ahead of the Noisy "Shitty" Neighbours
Kubali mlibebwa mkuu.
Mmebebwa pale... kulikua na contact pale... Mancini will say something may be
Point 3 muhimu lakini kiwango kilikuwa kibovu mno,tulitakiwa kushinda hata goli 8
Wapinzani wangu mpo? "BELO" mkuu upo? dah Wengine msione Kimya kule Kenny Daglish ana ngangania madaraka kama yupo Bongo wakati hayawezi.. kafanya tupotee tuhamie kwenye Basketball sasa lol nipo kurasa za NBA sasa lol! angalau jamaa zetu Arsenal nasikia sababu ya Manchester City kufanya vibaya washabiki wao wamepungua tena City wamerudi tena Arsenal tehtehteh! nawasalimia tu.