Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

jamani!hapa hakuna wasomaji nini?maana hakuna comment kabisa halafu natumia simu sioni walioko online!anyway matangazo yanaendelea,bado manchester hawajaongeza magoli!ni yaleyale 3!
 
carrick is off,pogda is on!huyu dogo alikuwa anakaa mwananyamala komakoma!nashangaa eti wanasema ni mfaransa!
 
United needs to score more to catch up the goal difference with Shitty. 4 more goals are needed right away.
 
Wewe majeruhi yamekuja kati ya msimu. Sisi tumeanza nayo! Tumecheza zaidi ya nusu msimu bila full back. Kuhusu kufungwa na Blackburn ndo ilikua kipindi hicho wakati msimu unaanza! Huwezi kuwa na form nzuri bila 1st team regulars. Milan na Swansea ni ishu tofauti na tulifungwa kihalali, no excuse.

Nyinyi hamtaki tu kutoa kisingizio, lakini kikosi kimetepeta. Kuanzia kati mpaka nyuma. Kula mbele hamna shaka. The credit you get, is the fighting spirit that the red devils have. Thats what keeps you going. Kubali kataa!

Kaka ligi imeenza Rio,Vidic,Valencia walikuwa majeruhi then wakaanza kupokezana Cleverley,Owen,Anderson,Fletcher Nani,Rooney karibia timu nzima ikawa inapokezana.Advantage ni kwamba tuna-fighting spirit na hata tukiwa na majeruhi tuna wachezaji ambao wanaweza kuziba mapengo.Sometimes siamini wazee kama Giggs,Scholes na Carick wanawakimbiza viungo wa timu nyingine
 
Ile 8-2 mlicheza na kikosi dhaifu tu. Na una bahati tumemalizana maana saivi tukikutana hutoki.

By the way, naomba nitoe taarifa mapema kwamba Wolves wanakuaribieni sherehe leo

Pole ,waambie wajaribu tena msimu ujao labda tutakutana nao FA Cup ,wanashuka daraja
 
Back
Top Bottom