A Night Not to Remember
Blame to Ole, blame to week squad, blame to the board
Kuna hitaji la kuongeza watu 4-5 wa maana pale United (hili tunalisema kila siku)
Mechi ya jana imeonesha tuna kazi ya kufanya ili kufika where we belong
Ole asipoangalia mbele ya safari atajikuta pabaya kwa poor team selection (English Fc, Rashford over Lukaku, Jones over Dalot...... Kituko hicho)
Kuna wachezaji tutawapoteza next season (Lukaku mmoja wapo). Hivi Rashford anawezaji kumweka Lukaku benchi?
Bila kujali mambo mengine Barca wapo vizuri kuliko sisi, lakini with the right team selection tungeweza kufanya vizuri zaidi
Young ni fighter lakini uwezo mdogo, pengine umri unachangia, hivyo kumlaumu ni kumuonea tu
A NIGHT TO GIVE GLAZER AND ED A LESSON, THAT ..... THEY HAVE TO SPEND.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu alikua na mdomo sanaaMapenzi mengi uweka upofu..
Walijidai sana first leg wakimbeza mesi hajaonekana wakati Messi alikuwa na role tofauti kabisa kikawapanda kichwani.. Wakategemea atakua na role ile ile tena hahaha...
Kawasumbua sana asee sanaaa... Manyua wanaweza shinda mechi kwa kuongea asee yanaongea kama polepole.
Nyie Mazumbukuku Utd nyie ni dhaifu, mnachoweza ni kupiga Domo tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu alikua na mdomo sanaa
sometimes yes sometimes no
Ninyi mtakutana na Ajax, jiandae mapema kudhalilika kwa kupigwa 12/dozen
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabik wa man u wakiwa wanaisifia tim utadhan ni kikosi cha dunia kumbe wanaendekeza u mavi mavi tu,na ndicho kilichowaponza..Mapenzi mengi uweka upofu..
Walijidai sana first leg wakimbeza mesi hajaonekana wakati Messi alikuwa na role tofauti kabisa kikawapanda kichwani.. Wakategemea atakua na role ile ile tena hahaha...
Kawasumbua sana asee sanaaa... Manyua wanaweza shinda mechi kwa kuongea asee yanaongea kama polepole.
Man United haiwezi kuifunga hata Lipuli hapo iringaYan hadi huruma, sasa ukute mashabiki wao jinsi wanavyoipamba timu yao utabaki na mshangao.
Ukweli machungu ni huu;
Man United haina wachezaji wa ushindani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona sasa hata ujui kwamba anakutana na mshindi kati ya Liverpool na portoNinyi mtakutana na Ajax, jiandae mapema kudhalilika kwa kupigwa 12/dozen
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanasema tunapindua sijui wangepindua chupi?Wanafki sana afu saiv wanakuja kuwachukia michezaji miingereza akat gem ya kwanza walijitapa sanaaa hawa manure[emoji19][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tell her bossNaona umekuja tena na ajax.. Jmn jidfunze kuappreciate... Game plani haiwezi kuwa sawa.. Barca hatukimbii kimbii kama juve au rm.
Ajax ni academy yetu babu yetu ni mmoja Johan Cruyff..
Hopefully itakua game nzuri sana ya fainali kwa staili ya timu mbili hizo.. Mtauona mpira wenye burudani. Wakukumbukwa.
Sio kukimbizana na butubutu
Mashabik wa man u wakiwa wanaisifia tim utadhan ni kikosi cha dunia kumbe wanaendekeza u mavi mavi tu,na ndicho kilichowaponza..
Ety unaenda catalunya kwa mentality ya kwamba mliwatoa psg na juve na wakafikiri catalunya ni kama turin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaonea huruma sana..
Na huy olegwanan wenu amechoma pes ya bure kwenda kuchek mechi ya atletc na barca na kujitia mjuaji sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Olegwananani sijui aliendda kuangalia game ya Barca na atletico ya nn sasa kachoma tyu naul yetu ya buree cozz tumepakatwaa njee ndan dahh[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabik wa man u wakiwa wanaisifia tim utadhan ni kikosi cha dunia kumbe wanaendekeza u mavi mavi tu,na ndicho kilichowaponza..
Ety unaenda catalunya kwa mentality ya kwamba mliwatoa psg na juve na wakafikiri catalunya ni kama turin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaonea huruma sana..
Na huy olegwanan wenu amechoma pes ya bure kwenda kuchek mechi ya atletc na barca na kujitia mjuaji sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabik wa manyua wametulia kama maj mtungini. Wangeshinda jana tusingehema mzee yaan wangeisifia na kumbe mmasai wao olegwananOle he's our biggest fan.
Nani hataki?
Mkuu nipo nimekuwa msomaji nawaachaia vijana maanake mpira wa kisasa nahisi siuelewi. Mechi hii wala sikujisumbua kuangalia kwasababu nilikuwa najua nini kitatokea. Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kutegemea matokeo tofauti na kilichotokea.
Nasubiri kwa hamu kukesha jukwaa la liver na ule msemo wako wa kuita wachezaji usiowapenda mashoga mara lawama kwa kocha.
Anyway ASANTE mdo mpira ulivyo