hizi dakika 4 zilizobakia acha nimuombe muumba wa kenge, panya, sungura, nyumbu, twiga na wengineo ajaalie jordi alba apunguze zile kasheshe zake kama ilivyokuwa mechi ya kwanza.
njoo unywe juice...
Kosa lenu ni kutufananisha na psg pumbavu...
Nadhani ulimuona king alivo kuwa anafanya skills za makusudi kuwaonyesha muwe na heshima..
This is BARCA
mkuu inaonekana wewe ni mgeni katika huu uzi?? mbona unayoongea wewe ndio yanayojadiliwa humu siku zote
of course tuna timu mbaya mbovu na haifai machoni kwa watu but huwezi ku offload eight or nine average players then ukapata eight or nine top players kwa wakati mmoja
kuwaondoa Smalling, Jone na Young kwa pamoja ni kitu ambacho hakiwezekani look Valencia na Darmian wataondoka wanahitaji replacement zao sasa imagine hao wengine waondoke maana yake msimu ujao tutahitaji wachezaji wasiopungua watano kwa nafasi ya ulinzi tu, sijui kama umenotisi concern yangu? tena kumbuka hiyo ni sehemu ya ulinzi tu
Hapana. Ndio maaana washabiki wametofautiana. Wako wanao ukubali ukweli( hawa ni wachache).. wako wanaokataa ukweli na kuishia kusifu.. hawa nddio wengi.Tatizo mkishinda game mbili tu haya yote mnayasahau na hao hao wachezaji mnaanza kuwasifu
HahahahahahahahahahahahaMan U ya mwaka gani ingeifunga Barcelona?
Tatizo la mashabiki wa Man U ndio hili. Wakifungwa tu wanageuka wachambuzi.
Huu utani wa kutukanana ufe. Sina mazoea ya hivyo mkuu
Nilishakwambia hujui kitu unababaika sana iga wenzio wana hoja bila matusi
HahahaWalivyomtoa damu Messi game ya Kwanza si mlisikika mkisema waongezewe mshahara na wapewe mikataba mipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial ulimuona muda gani?
Lazima tuheshimiane kwa kweli..
Ni kawaida yako kubwabwaja kujikuta mjuajivna siku zote uunapriviw wrong..
Na ole ni shenzi pia ana viimani vya Ferguson vya kukumbatia vichezaji vya kiingereza visivyo na vipaji vikubwa. Ndio mana hadi sasa kila siku unasikia main target za man u kwenye dirisha kuu la usajili ni Sancho,Rice na Wan-Bisaka na hao ndio tuwategemee waje wajenge timu ya kiushindani Fuc...!
Naona umetoka nje ya Rely!
Enewey pole sana kwa kuchakazwa
Hapana degea yuko vizuri.. ila angalia defence iliyokaa mbele yake.. defence ya kina smalling .. jones.. young..? Unatarajia messi akuache kweli?
Yes indeed. Mou huendakuwa alikuwa haelewani na wachezaji lakin he had a point.Mourinho alionewa tu kufukuzwa Man Utd, lkn kikosi chote ni uozo mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
GGMU kama umeumia pole still am Man u fan haibadiliki hio.
Hio ni mara ya mwisho kukujibu popote pale JF coz hujui kitu unapanic mno,cheki hadi unakosea spelling
narudia tena BADO NAIAMINI MAN U.
Watasema Romeo Yule namba 2 wa man uMessi siku zote anafanya mpiraaa uonekane rahisi,, chuki binafsi haifai.. Kipa gani hajammtoboa hadi sasa?
Watasema Romeo Yule namba 2 wa man uMessi siku zote anafanya mpiraaa uonekane rahisi,, chuki binafsi haifai.. Kipa gani hajammtoboa hadi sasa?