Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na ndio maana wadau wenzangu niliwaambia sitaangalia game zote home and away maana matokeo tayari ninayo mfukoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaa nimecheka sana ,hawa jamaa wana mdomo sana, sasa kwenye EPL watabak hapo hapo namba 6
 
Guys tupumzike ili kesho watakaopata nafasi wanaweza kuichambua hii game hatua kwa hatua japo mimi nilikuwa siamini kabisa kama Barca wanaweza kutufunga kwa idadi ya mabao yoyote, kama tungefungwa hii game basi ingekuwa kwa matuta baada ya ubao kusoma dk 120.

Niliamini game ingekuwa ngumu sana, hii Barca iliyotufunga sio ile ambayo naijua mimi... Barca hii ni dhaifu ikikutana na timu inayoweza kutulia na mpira, Barca wanakufa!

United kinachotugharimu ni uzembe na kukosa utulivu kwa wachezaji, kuna wakati na miss sana life style aliyokuwa anaishi Jose pale United, watu wanajiandaa kwenda kwenye game, lakini hakuna mchezaji mwenye uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza... Yale maisha ya Jose ni bora kuliko maisha tunayoishi sasa hatuna amani, ukiona list ya kikosi cha kwanza unabaki mdomo wazi. Wachezaji wanaotakiwa kupewa nafasi kwenye game muhimu wanachomeshwa mahindi dah leo nimepata maumivu makubwa sana!
 
Favoritism ndio inamponza ole na ndio itakayomtoa pale manutd.smalling,young,jones,Lingard na selfish Rashford hawa wote hawana kiwango cha kucheza Man Utd ila kisa ni waingereza jamaa anawachezesha tuu kisa mapenzi yake binafsi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante jirani na hasimu,
Niwatakie safari njema hadi final.

Sent using simu mbovu
 
Huwa hamkosi sababu kabisa nyie wana mlioshindikana..

Ulitaka Barcelona ya puyol xavi na iniesta au...

Nyakati hazisimami hii ndio barca yetu na itakuwa hivi siku zote..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…