Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Degea anaweza ingia kama goal keeper namba 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnagona sababu ya nn wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na leo matatizo yameonekana. Niliwaaambia watu hum waishi kwa uhalisia.
Hii ndio man u ilipofikia.. defence ya hovyo.. kiungo hawaelewani.
Attacking ndio usiseme. Kama man u wanataka kushindana lazima waondoe defence nzima isipokuwa shaw na lindelof.
Kiungo wattfutwe wingers wanaoeleweka.
Forwrd yote wafukuzwe. Waafutwe wanaoeleweka otherwise wataishi kujinasib kwenye mageti ya uingereza.. huku wakiambulia aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu wewe endelea kuwa na imani kuwa lolote linaweza kutokea mimi siendeshwi na iman kikosi chetu ni kibovu fungua macho machexaji hsyajitumi bodi nayo ni ungeseungese tu wanafanya.
Ashley young ni wa kumpa mkataba?? Jones?? Kweli martial ni wa kumpa mkataba mnono??? Rashford nae anadai pesa ndefu?? Herera anayepambania timu ni wakukataa kumwongezea pesa?? Na kuwapa hawa waingereza priority?? Ukija kweny media wanasifiwa sana na nyie mashabiki mnaoendeshwa na iman na sio uhalisia.

Nakwambia pia top four hatuingii bado kuna aibu ya man city inakuja wewe endelea kuwa na imani na hawa wapuuz wasiopambana na kujitoa .

Mourinho iman na hawa wapuuzi ilimwishia akawachana ukweli tukamwona mchawi kaja ole anawaamini anawapa moyo anawabembeleza mwanzoni kuonesha morinyo ni tatizo walijitoa sana sasa vibe limekata wameshapata mikataba na ole wao wanachexa ungese tu

Kwa mpira tuliouonyesha leo ni dhahiri kuwa hapa tulipofika tulibahatisha tuna hatukustahili kabisa!!

Sijaona mchezaj yoyote leo wetu anaweza kuanza kwenye kikosi cha barca labda uniambie wewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inaonyesha timu yetu haifundishi wachezaji kukaa na mpira zaidi Bali kukimbia kimbia zaidi. Hizi ni falsafa za ferg na huyu amezileta kwenye zama hizi,tusitegemee kuwa comfortable tutapocheza na timu zinazomiliki zaidi mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…