Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ma devil kwa heshima na taadhima napita kwenye uzi wenu,siku mtakayocheza na man city nitawapa sapoti kwa % zote siku hiyo,yan nitakua radhi hata kuvaa jezi ya mashetani ili mradi tu mumfunge huyo jirani yenu man c,kila la heri mashetani,yes u can
Unaongelea Mancity ipi? Ile iliyompiga chelsea 6? Mlitamali sana chelsea ashinde na jezi zao mkavaa halafu mkashundwa kushangilia hata goli moja, wewe shabikia tu timu yako liverpool achana na hizi timu zilizokosa mwelekeo. Utaaibika.
Anyway I wish you a happy landing.
 
UEFA bhana ,yaani toka wanapanga droo walishajiwekea nusu fainal ni barca na liver,

Ukiwajua UEFA wala husumbuki, hii mechi ya liver na barca wanaitaka sana kunogesha michuoano

Yohana 3:16
Kwahiyo ndo wamepanga Mancity wakutane na Barcelona Fainali? Basi inawezekana Maana ndo inavyoelekea
 
Na huo ndio ukweli.only pogba na degea ndio world class. The rest are just average.
Na kama ole atafanya clear out. Auze defence youte na forward.. anunue world class. Othewise team haitoenda mahali

Sent using Jamii Forums mobile app

Nashangaa sana madhabiki humu wanategemea watashinda chochote na kile kikosi mfu yaani mwenzako ana salah mane robertson vvd nk wewe una lukaku rashford lingard sijui sanchez nk???
Manchester united ya sasa ni uozo mtupu na usikae ukategemea chochote kutoka mule.

Mashabiki wa man u eti tunamuona scot kama ndo midfield tunayoitegemea kweli??? Yaani hao kina fred scot ndio watupe epl au uefa kweli??
Tuache kuwapa wachezaji wetu sifa za kipuuzi ambazo hata hawadeserve shoo anayopiga mtu kama fabinho au sterling au mane angekuwa anafanya mchezaji wa man u basi tungemsifia mpaka basi. Huu ni upuuzi kuna watu humu wanasema eti martial sijui radhford sijui nini hawa madogo ni wapuuzi tu

Kuna mpuuzi mwingine ni ashley young yaan jamaa hajui kukaba hatulii na mpira anapoteza pasi hajui hata kupiga kross sasa sijui anaanzaje kwenye timu kama man u alafu kuna watu humu mnategemea miujiza kweli??

Timu haina world class players na hao waliopo hawajitumi kabisa sasa mnadhani mtachukua kombe gani lenye ushindani?? Huyu barca mwenyewe atatupiga nje na ndani ndo akili itukae sawa top four yenyewe kwa huu mpira wa kipuuzi tunaocheza hatuwezi kuingia na hapo ndipo usajili unapokuja kuwa mgumu

Mourinho hajawai kuwa mnafiki alisema tuna timu mbovu hakuna worldclass plsyers na michezaji haijitumi tukamwona ni mchawi wetu.
Kaja ole wachezaji wakakaza ili kuonesha shida ilikuwa n mourinho sasa vibe limekata maji na mafuta yamejitenga uwezo wao halisi unaonekana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nadhani nimeeleweka, kama umenielewa na matokeo tayari utakua umeshayajua.

kipigo ni lazima, kupindua matokeo kama kwa watoto wa mama PSG hiyo ni ndoto.

matokeo tunayajua ngoja tusubiri dk 90 ili kukamilisha ratiba tuu.
 
Nashangaa sana madhabiki humu wanategemea watashinda chochote na kile kikosi mfu yaani mwenzako ana salah mane robertson vvd nk wewe una lukaku rashford lingard sijui sanchez nk???
Manchester united ya sasa ni uozo mtupu na usikae ukategemea chochote kutoka mule.

Mashabiki wa man u eti tunamuona scot kama ndo midfield tunayoitegemea kweli??? Yaani hao kina fred scot ndio watupe epl au uefa kweli??
Tuache kuwapa wachezaji wetu sifa za kipuuzi ambazo hata hawadeserve shoo anayopiga mtu kama fabinho au sterling au mane angekuwa anafanya mchezaji wa man u basi tungemsifia mpaka basi. Huu ni upuuzi kuna watu humu wanasema eti martial sijui radhford sijui nini hawa madogo ni wapuuzi tu

Kuna mpuuzi mwingine ni ashley young yaan jamaa hajui kukaba hatulii na mpira anapoteza pasi hajui hata kupiga kross sasa sijui anaanzaje kwenye timu kama man u alafu kuna watu humu mnategemea miujiza kweli??

Timu haina world class players na hao waliopo hawajitumi kabisa sasa mnadhani mtachukua kombe gani lenye ushindani?? Huyu barca mwenyewe atatupiga nje na ndani ndo akili itukae sawa top four yenyewe kwa huu mpira wa kipuuzi tunaocheza hatuwezi kuingia na hapo ndipo usajili unapokuja kuwa mgumu

Mourinho hajawai kuwa mnafiki alisema tuna timu mbovu hakuna worldclass plsyers na michezaji haijitumi tukamwona ni mchawi wetu.
Kaja ole wachezaji wakakaza ili kuonesha shida ilikuwa n mourinho sasa vibe limekata maji na mafuta yamejitenga uwezo wao halisi unaonekana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuanzia leo nakupa heshima yako wewe ndiye shabiki pekee wa MAN U nitakae muheshimu dunia nzima umeongea ukweli sio kama hao wengine wajinga wanaoshinda kupamba mavi maua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya 1 - 0, 2 - 0, 2 - 1 ,3 - 0, 3 - 1, 4 - 0, 4 - 1, 5 - 0 5 - 1, 6 - 0 na 6 - 1 munataka zipi?
Naomba jibu please
 
Sasa mkuu ukiachana na majeruhi ya mendy akiwa fit healthy unadhani huyo shaw wetu anaweza kumpiga benchi??

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mendy is too heavy for a left back, hamkuti Shaw hata kidogo kwa namna modern full backs wanavyocheza

Kuhusu majeraha, hata Shaw majeraha yamemrudisha nyuma sana

Shaw anapaswa aongeze efficiency kwenye kupiga krosi, eneo ambalo hata Mendy hayupo vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mendy is too heavy for a left back, hamkuti Shaw hata kidogo kwa namna modern full backs wanavyocheza

Kuhusu majeraha, hata Shaw majeraha yamemrudisha nyuma sana

Shaw anapaswa aongeze efficiency kwenye kupiga krosi, eneo ambalo hata Mendy hayupo vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu Nenda kwenye Kwenye App ya Barclays Premiere League ukaangalie Mendy ana assists Ngapi, Then ucalculate Howmany Minutes ameplay
 
Nashangaa sana madhabiki humu wanategemea watashinda chochote na kile kikosi mfu yaani mwenzako ana salah mane robertson vvd nk wewe una lukaku rashford lingard sijui sanchez nk???
Manchester united ya sasa ni uozo mtupu na usikae ukategemea chochote kutoka mule.

Mashabiki wa man u eti tunamuona scot kama ndo midfield tunayoitegemea kweli??? Yaani hao kina fred scot ndio watupe epl au uefa kweli??
Tuache kuwapa wachezaji wetu sifa za kipuuzi ambazo hata hawadeserve shoo anayopiga mtu kama fabinho au sterling au mane angekuwa anafanya mchezaji wa man u basi tungemsifia mpaka basi. Huu ni upuuzi kuna watu humu wanasema eti martial sijui radhford sijui nini hawa madogo ni wapuuzi tu

Kuna mpuuzi mwingine ni ashley young yaan jamaa hajui kukaba hatulii na mpira anapoteza pasi hajui hata kupiga kross sasa sijui anaanzaje kwenye timu kama man u alafu kuna watu humu mnategemea miujiza kweli??

Timu haina world class players na hao waliopo hawajitumi kabisa sasa mnadhani mtachukua kombe gani lenye ushindani?? Huyu barca mwenyewe atatupiga nje na ndani ndo akili itukae sawa top four yenyewe kwa huu mpira wa kipuuzi tunaocheza hatuwezi kuingia na hapo ndipo usajili unapokuja kuwa mgumu

Mourinho hajawai kuwa mnafiki alisema tuna timu mbovu hakuna worldclass plsyers na michezaji haijitumi tukamwona ni mchawi wetu.
Kaja ole wachezaji wakakaza ili kuonesha shida ilikuwa n mourinho sasa vibe limekata maji na mafuta yamejitenga uwezo wao halisi unaonekana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu umeongea kwa hisia sanaa

Pole sana

13SEPTEMBER
 
Mkuu umekidhi viwango vya CAG,... Huu ni mwiba mchungu kati ya mashabiki wa man..

Umeongea bila unafiki kwa kweli, mimi niliichukia Uingereza sababu ya mdomo. Wanaongea sana, kiki za kutosha.

Back
Top Bottom