Manchester United (Red Devils) | Special Thread

√Fred ananipa matumaini..ni mchezaji pekee anayefanya atleast majukumu yake perfectly kwa sehemu kubwa kwa kipindi hiki..akiacha ile ball giveaway ambayo anaitoa moja kila mechi basi ile nafasi ni yake..Very Promising

√Ni wazi Ole hampendi Lukaku,na kwa minajili hiyo ni bora amweke sokoni mapema ili alete ambao yeye anawataka au awapange vizuri anaowataka..

-That big man did great work lakini hathaminiki hata kidogo

-Lukaku anaweza akawa sio world class,lakini kwa ubovu wa timu yetu sio wakuzidiwa na Lingard na Martial na hata Rashford kwenye priorities

√Next stop ni Nou camp..let's support our club
Nilikua shabiki mkubwa sn wa Ole kutaman apewe team, lkn kwa jins anavomtreat lukaku ata sina hamu nae tena, lukaku anafanya kazi kubwa sn hata kuliko alipokuwepo mourinho, lkn haka kazee ole ata hakamthamini. Anakiacha kilingard kinakata tu mauno mle ndani anamtoa mchezaji nje. Ivi ole anatumiaga akili au matope???? Eti lukaku anawekwa bench na rashford na lingard, hichi nacho ni kichekesho kingine!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana lukaku hakabi, anapiga mauno kule mbele, siku za hivi karibuni, ole alimudu kwa kimchezesha winga, na ndio maana mnamuona lukaku anang'aa japo bado, rashford na lingard ni fighter sana, tuwe wakweli na wachezaji wwtu, kasoro ya timu yetu inawwchezaji wengi injury, timu ya backup haipo, inawakuta wanaset mind zao kwa mechi ngumu ya barca. Mtaamini watakavyokipiga na Barcelona

Haka
 
Binafsi sina imani na ole kuanzia Jana.
 
kwa uwezo wangu mdogo niliyonao kila camera inapoenda ndiyo na mimi nafatisha kwa dakika hizi 45 za kwanza sijaona hasa alichomshinda McTominay labda Solskjaer ameona zaidi
Hamna kitu kwa mechi ya jana scot anamzidi huyo Rice
 
√Fred ananipa matumaini..ni mchezaji pekee anayefanya atleast majukumu yake perfectly kwa sehemu kubwa kwa kipindi hiki..akiacha ile ball giveaway ambayo anaitoa moja kila mechi basi ile nafasi ni yake..Very Promising

√Ni wazi Ole hampendi Lukaku,na kwa minajili hiyo ni bora amweke sokoni mapema ili alete ambao yeye anawataka au awapange vizuri anaowataka..

-That big man did great work lakini hathaminiki hata kidogo

-Lukaku anaweza akawa sio world class,lakini kwa ubovu wa timu yetu sio wakuzidiwa na Lingard na Martial na hata Rashford kwenye priorities

√Next stop ni Nou camp..let's support our club
Lukaku ni world class trust me. Timu aliyopo inamficha kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana lukaku hakabi, anapiga mauno kule mbele, siku za hivi karibuni, ole alimudu kwa kimchezesha winga, na ndio maana mnamuona lukaku anang'aa japo bado, rashford na lingard ni fighter sana, tuwe wakweli na wachezaji wwtu, kasoro ya timu yetu inawwchezaji wengi injury, timu ya backup haipo, inawakuta wanaset mind zao kwa mechi ngumu ya barca. Mtaamini watakavyokipiga na Barcelona

Haka
Nafikiri tunatofautiana sana namna tunavoangalia mpira na kuutafasiri. Kwangu lakaku ni bora sana kwasababu ana_offer vitu vingi sn uwanjani, anasimama kama main man pale mbele na akiwepo beki hazina amani, anatokea pembeni na analeta cross za mana kana kwamba ni natural winger. Yupo physical na anaweza ku_hold mipira kule mbele huku akiwasubiri wenzie wapande mana kumbuka team yetu inacheza deep zaidi kwaio huku mbele tunakuwa hatupo saana, vitu ambavyo ivyo vitoto vya kiingereza haviwezi kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda unahitaji u-contain pressure ya mchezo, wewe kama mido wa chini ndo unaiona timu yote, mpira unaupeleka wapi ili tufunge, wapi ili tuanze shambulizi,
Aiseeee, kuna sababu hadi leo hii bastian shweisteiger aliitwa midfield general,
Mido sio tackling tuuu kila saaa,
sasa umeshaongoza mmoja, alafu watu wanakuja kama nyuki, unalinda vipi matokeo?? kwa kufanya tackling pekee??
Si utakula umeme chap, lazima ucontrol tempo ya mchezo, game inazidi speed na mnataka muende slow, mido wa chini ndo anaepooza game, au kuiharakisha,
Rice is far from being a great mid, heri mctominay analeta matumaini....Kwangu Mimi Declan Rice Sio chaguo Sahihi kwa Man United kwasasa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As Manchester United supporter
We can't win any troophy next season with these kids
Utoto Utoto mwingi

Wachezaji wa muhimu tulionao Manchester kwa sasa ni wachache sana

Mi binafs nampenda lukaku tu,the guy is talented and hard working

We need to employ new players

God first
 
Kuna muda unahitaji u-contain pressure ya mchezo, wewe kama mido wa chini ndo unaiona timu yote, mpira unaupeleka wapi ili tufunge, wapi ili tuanze shambulizi,
Aiseeee, kuna sababu hadi leo hii bastian shweisteiger aliitwa midfield general,
Mido sio tackling tuuu kila saaa,
sasa umeshaongoza mmoja, alafu watu wanakuja kama nyuki, unalinda vipi matokeo?? kwa kufanya tackling pekee??
Si utakula umeme chap, lazima ucontrol tempo ya mchezo, game inazidi speed na mnataka muende slow, mido wa chini ndo anaepooza game, au kuiharakisha,
Rice is far from being a great mid, heri mctominay analeta matumaini....Kwangu Mimi Declan Rice Sio chaguo Sahihi kwa Man United kwasasa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni ule uingereza uingereza ila huyo dogo wala siyo big deal!
 
Nafikiri tunatofautiana sana namna tunavoangalia mpira na kuutafasiri. Kwangu lakaku ni bora sana kwasababu ana_offer vitu vingi sn uwanjani, anasimama kama main man pale mbele na akiwepo beki hazina amani, anatokea pembeni na analeta cross za mana kana kwamba ni natural winger. Yupo physical na anaweza ku_hold mipira kule mbele huku akiwasubiri wenzie wapande mana kumbuka team yetu inacheza deep zaidi kwaio huku mbele tunakuwa hatupo saana, vitu ambavyo ivyo vitoto vya kiingereza haviwezi kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiendelea kutukuza uingereza uingereza timu hii itapoteana sana. Kwanza waingereza hawana vipaji vikubwa kama wanavyonadiwa na media. Ukaribu Wa Ole na Mzee ferg Labda yaweza kuwa ni msingi Wa ole kutaka kutukuza na kukumbatia waingereza mana huyu Mzee nae alikuwa hivyo
 
Kuna muda unahitaji u-contain pressure ya mchezo, wewe kama mido wa chini ndo unaiona timu yote, mpira unaupeleka wapi ili tufunge, wapi ili tuanze shambulizi,
Aiseeee, kuna sababu hadi leo hii bastian shweisteiger aliitwa midfield general,
Mido sio tackling tuuu kila saaa,
sasa umeshaongoza mmoja, alafu watu wanakuja kama nyuki, unalinda vipi matokeo?? kwa kufanya tackling pekee??
Si utakula umeme chap, lazima ucontrol tempo ya mchezo, game inazidi speed na mnataka muende slow, mido wa chini ndo anaepooza game, au kuiharakisha,
Rice is far from being a great mid, heri mctominay analeta matumaini....Kwangu Mimi Declan Rice Sio chaguo Sahihi kwa Man United kwasasa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono kuhusu Rice, but naamini scot bado hajafiti kuwa DM, ndio maana OLe kamsogeza mbele(box to box).

Note: simaananishi Rice ndio tumchukue kama DM.

Sent using simu mbovu
 
√Fred ananipa matumaini..ni mchezaji pekee anayefanya atleast majukumu yake perfectly kwa sehemu kubwa kwa kipindi hiki..akiacha ile ball giveaway ambayo anaitoa moja kila mechi basi ile nafasi ni yake..Very Promising

√Ni wazi Ole hampendi Lukaku,na kwa minajili hiyo ni bora amweke sokoni mapema ili alete ambao yeye anawataka au awapange vizuri anaowataka..

-That big man did great work lakini hathaminiki hata kidogo

-Lukaku anaweza akawa sio world class,lakini kwa ubovu wa timu yetu sio wakuzidiwa na Lingard na Martial na hata Rashford kwenye priorities

√Next stop ni Nou camp..let's support our club
Mkuu Ole anampenda sana Lukaku ndio maana anataka akacheze kwenye usiku wa mabingwa jumanne. Hataki aumie huku mchangani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom