Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi ni Mmoja Katika Wanaoamini Kuwa Man United Wamekosea Kumpa Mkataba OGS

OGS alishafeli tokea alipokuwa akiifundisha Cardiff City.

Nilichogundua Mimi ni kuwa Baada ya Kutimuliwa Mourinho Man United ilishinda mfululizo si kwasababu OGS alikuwa kocha Mzuri! Bali walishinda kwa wachezaji kukazania Kumprove Wrong Mourinho tu.

Baada ya visasi vyao kuisha na ari ya kumprove wrong Mourinho kuisha hatimae wamerudi palepale alipowaacha Mourinho.
 
Mimi ni Mmoja Katika Wanaoamini Kuwa Man United Wamekosea Kumpa Mkataba OGS

OGS alishafeli tokea alipokuwa akiifundisha Cardiff City.

Nilichogundua Mimi ni kuwa Baada ya Kutimuliwa Mourinho Man United ilishinda mgululizo si kwasababu OGS alikuwa kocha Mzuri! Bali walishinda kwa wachezaji kukazania Kumprove Wrong Mourinho tu.

Vipi angepewa Klopp?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Mmoja Katika Wanaoamini Kuwa Man United Wamekosea Kumpa Mkataba OGS

OGS alishafeli tokea alipokuwa akiifundisha Cardiff City.

Nilichogundua Mimi ni kuwa Baada ya Kutimuliwa Mourinho Man United ilishinda mgululizo si kwasababu OGS alikuwa kocha Mzuri! Bali walishinda kwa wachezaji kukazania Kumprove Wrong Mourinho tu.

Baada ya visasi vyao kuisha na ari ya kumprove wrong Mourinho kuisha hatimae wamerudi palepale alipowaacha Mourinho.
Argument yako ni dhaifu.
"OGS alishafeli tokea alipokuwa akiifundisha Cardiff city"

Sent using simu mbovu
 
Back
Top Bottom