Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

J4 sanchez aanze LW, badala ya huyo mvivu.

Sent using simu mbovu
Marital is boring watching playing toto dogo vivu kama nini

Watu wanashindwa kutofautisha kati ya kipaji na jinsi ya kutumia kipaji chake

Martial ameshindwa kuconvert kipaji chake kuja kwenye uhalisia

It seems dogo anapenda ngono sana kwssababu sex inamaliza sana nguvu

God first
 
Pengine Kwasababu Mimi si Mshabiki wa Man United, Lakini ukaniambia nichague Mchezaji yoyote Man United ahamie Liverpool basi Nitamchagua Martial.

Ukweli usiofichika ni kwamba Martial ni miongoni mwa very few talented boys waliopo EPL.

Inawezekana OGS hajajua kumtumia tu.
 
Hata sisi tunajua hilo mkuu,ila kipaji pekee bila kujituma si kitu.

Messi ana kipaji lakini anajituma sio mvivu.
 
Hata sisi tunajua hilo mkuu,ila kipaji pekee bila kujituma si kitu.

Messi ana kipaji lakini anajituma sio mvivu.

Sasa hilo ni kosa la Kocha kwasababu ndiye anayehusika na Management ya Wachezaji.
Kocha anatakiwa am-manage vizuri katika mazoezi ili aweze kujituma! Mtazame PEP alivyommanage Sterling mpaka kuwa Main man wake.
 
Martial
Screenshot_20190414-152439.jpg

Sent using simu mbovu
 
Kuna muda unahitaji u-contain pressure ya mchezo, wewe kama mido wa chini ndo unaiona timu yote, mpira unaupeleka wapi ili tufunge, wapi ili tuanze shambulizi,
Aiseeee, kuna sababu hadi leo hii bastian shweisteiger aliitwa midfield general,
Mido sio tackling tuuu kila saaa,
sasa umeshaongoza mmoja, alafu watu wanakuja kama nyuki, unalinda vipi matokeo?? kwa kufanya tackling pekee??
Si utakula umeme chap, lazima ucontrol tempo ya mchezo, game inazidi speed na mnataka muende slow, mido wa chini ndo anaepooza game, au kuiharakisha,
Rice is far from being a great mid, heri mctominay analeta matumaini....Kwangu Mimi Declan Rice Sio chaguo Sahihi kwa Man United kwasasa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
McTominay kwangu mimi ni bora kuliko uyo rice, lkn kwa kua ni mwingereza watamnunua tena kwa garama kubwa tu thn ajabu atakuja kumpigisha McTominay bench. Uyu dogo McTominay ameshajiprove ni bs tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumtumiaje? The boy is talented ila mzembe kupindukia hana njaa ya mafanikio

Kwa hilo ole hatakiwi kulaumiwa
Pengine Kwasababu Mimi si Mshabiki wa Man United, Lakini ukaniambia nichague Mchezaji yoyote Man United ahamie Liverpool basi Nitamchagua Martial.

Ukweli usiofichika ni kwamba Martial ni miongoni mwa very few talented boys waliopo EPL.

Inawezekana OGS hajajua kumtumia tu.

God first
 
Pengine Kwasababu Mimi si Mshabiki wa Man United, Lakini ukaniambia nichague Mchezaji yoyote Man United ahamie Liverpool basi Nitamchagua Martial.

Ukweli usiofichika ni kwamba Martial ni miongoni mwa very few talented boys waliopo EPL.

Inawezekana OGS hajajua kumtumia tu.
Mchukueni, dogo mvivu na mtoto wa mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeanza kumkubali Klop, ana manage vizuri akina Hendo enhee...?
Sasa hilo ni kosa la Kocha kwasababu ndiye anayehusika na Management ya Wachezajazi.
Kocha anatakiwa am-manage vizuri katika mazoezi ili aweze kujituma! Mtazame PEP alivyommanage Sterling mpaka kuwa Main man wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom