Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi ni Mmoja Katika Wanaoamini Kuwa Man United Wamekosea Kumpa Mkataba OGS
OGS alishafeli tokea alipokuwa akiifundisha Cardiff City.
Nilichogundua Mimi ni kuwa Baada ya Kutimuliwa Mourinho Man United ilishinda mgululizo si kwasababu OGS alikuwa kocha Mzuri! Bali walishinda kwa wachezaji kukazania Kumprove Wrong Mourinho tu.
Baada ya visasi vyao kuisha na ari ya kumprove wrong Mourinho kuisha hatimae wamerudi palepale alipowaacha Mourinho.
unawezakuwa sahihi ama usiwe sahihi
 
√Fred ananipa matumaini..ni mchezaji pekee anayefanya atleast majukumu yake perfectly kwa sehemu kubwa kwa kipindi hiki..akiacha ile ball giveaway ambayo anaitoa moja kila mechi basi ile nafasi ni yake..Very Promising

√Ni wazi Ole hampendi Lukaku,na kwa minajili hiyo ni bora amweke sokoni mapema ili alete ambao yeye anawataka au awapange vizuri anaowataka..

-That big man did great work lakini hathaminiki hata kidogo

-Lukaku anaweza akawa sio world class,lakini kwa ubovu wa timu yetu sio wakuzidiwa na Lingard na Martial na hata Rashford kwenye priorities

√Next stop ni Nou camp..let's support our club
 
Lingard alikua anazurura tu eti ndo kabaki, ingawa huwa simuelewi lukaku lakini OGS anazingua sana sub zake leo luka kapiga kazi kubwa na krosi nyingi sana lingz anazunguka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom