moreta
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 296
- 572
Kwa upande wangu mimi Fabinho ndo alikuwa hatariiiMkuu naendelea, sijaanza
Unamuongeleaje Hendo jana, naona amekaza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wangu mimi Fabinho ndo alikuwa hatariiiMkuu naendelea, sijaanza
Unamuongeleaje Hendo jana, naona amekaza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
huo uvivu wa pogba anakuwa nao Man Utd tu? Akiwa ufaransa inakuwaje?huyo jamaa anacheza na watu sio level yake akiwa France anacheza na N'golo,Blaise level ya dunia, akiwa man u Herrera na matic level ya epl ndio maana Pogba anaonekana mvivu. Lijamaa linajua sanaHata kipaji so kivile. Mtu mwenye kipaji pekee na ni mvivu pale OT ni Paulo. Hakuna kiungo duniani level ya Pogba. Tatizo ni mvivu na nyodo nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial anakosa ubora na kiukweli sio bora kabisa.... Sio aina ya mchezaji anaye stahili kuwa United kabisa...... Anakosa united DNA. Martial ni mzigo.
anatumia sana hard work, watu hawajui tu, sema ana talent kubwa inayozidi hard work yake isonekane nje, muangalie messi anapokimbia na mpira, hata ukimsukuma haanguki hovyo, anajichimbia, anawahi sana eneo la hatari, anakimbia sana uwanjani kumkimbia adui,Marital is boring watching playing toto dogo vivu kama nini
Watu wanashindwa kutofautisha kati ya kipaji na jinsi ya kutumia kipaji chake
Martial ameshindwa kuconvert kipaji chake kuja kwenye uhalisia
It seems dogo anapenda ngono sana kwssababu sex inamaliza sana nguvu
God first
Kauli kama hiyo niliitamani muda mrefu. Watu wapiganie namba! Sasa huu ni mwanzo tu na nadhani tuwe wavumilivu sababu ni wazi uongozi unampa ushirikiano sana OSG.Ni kweli kila Kocha ana Ndoto hizo kwa Timu Yake lakini Je (Owner & Sporting director) Watampa Mamilioni ya £ kuwanunua hao? Au ataishia kama Mourinho kumtaka Griezman akapewa Sanchez?
Na je timu zinazowamiliki hao wachezaji zitakuwa tayari kuwauzia?
Lingard. Young. Jones. Smalling. Rashford.Tukiendelea kutukuza uingereza uingereza timu hii itapoteana sana. Kwanza waingereza hawana vipaji vikubwa kama wanavyonadiwa na media. Ukaribu Wa Ole na Mzee ferg Labda yaweza kuwa ni msingi Wa ole kutaka kutukuza na kukumbatia waingereza mana huyu Mzee nae alikuwa hivyo
Good point.anatumia sana hard work, watu hawajui tu, sema ana talent kubwa inayozidi hard work yake isonekane nje, muangalie messi anapokimbia na mpira, hata ukimsukuma haanguki hovyo, anajichimbia, anawahi sana eneo la hatari, anakimbia sana uwanjani kumkimbia adui,
Hard work sio lazima upige mashuti kama ronaldo wa zamani, hapana, hardwork ni kuwa na workrate kubwa uwanjani,
Muangalie martial, akiguswa kaanguka, messi anaanguka ovyo kama martial?? unadhani kati ya messi na martial nani huwa anapewa kashkashi mara nyingi kuliko mwingine??
Muangalie hazard, ana talent, na ana workrate kubwa akipewa mpira, haumuangushi hovyo hazard, anakimbia sana, anacheza all round the pitch, messi pia anashuka hadi chini anacheza, huwezi kuwa na workrate ndogo ukamudu kucheza uwanja mzima,
Martial anajimegea kaeneo kake ka kucheza, tafuta heatmap za martial kwenye squawka, utaona,
Hardwork inahitaji mapafu pia, ni lazima ufanye tizi ili ufungue mapafu zaidi, mtafute mtu mmoja alikua anaitwa scott parker, roho ya mbwa, alikua anachafua dakika tisini zote utasema ndo kaingia, au juan roman riquelme,
Unamuona cr7, sasa hivi hakimbii sana, mara nyingi yeye yupo kwenye box tu, sababu kapunguza workrate yake, ameamua aconcetrate kwenye goli tu, hawezi tena kumudu kukimbizana na mabeki kwenye winga, au kupiga mbali kama zamani, akimbie na mipira kutokea kati, aende pembeni, arudi kati afunge,
Messi anachowazid wachezaji wengi ni talent, na akili, magoli mengi ya messi hudhanii kama atafunga namna anavyofunga, he is super quick, na akiingia kwenye box anaingia kama umeme, hata ukimuangusha unaweza kuta ameshanyanyuka anaenda tena kufunga wakat wewe bado umelala chini ukijua refa ataweka faulo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Rooney was talented like hell...he was a complete monster sema tu alijitolea kuwanchini ya Ronaldo maana alitengene, a goals nyingi za Ronaldo......huyu martial mvivu kuna sku nilisema bora tuweke accademy players watu wakaniona punguaniGood point.
Sometimes you don't need talent.
You need hardworking players with higher work rate.
Same as Wayne Rooney.
Sent using Jamii Forums mobile app
UEFA bhana ,yaani toka wanapanga droo walishajiwekea nusu fainal ni barca na liver,Ingelipendeza Zaidi Kama ungeliandika Waliosafiri Kwenda Kuangamia Spain
Halafu Martial hajielewiMkuu Rooney was talented like hell...he was a complete monster sema tu alijitolea kuwanchini ya Ronaldo maana alitengene, a goals nyingi za Ronaldo......huyu martial mvivu kuna sku nilisema bora tuweke accademy players watu wakaniona punguani
Sent using Jamii Forums mobile app
anatumia sana hard work, watu hawajui tu, sema ana talent kubwa inayozidi hard work yake isonekane nje, muangalie messi anapokimbia na mpira, hata ukimsukuma haanguki hovyo, anajichimbia, anawahi sana eneo la hatari, anakimbia sana uwanjani kumkimbia adui,