BLOOD DIAMOND
Member
- Mar 24, 2017
- 92
- 122
Hapo kwa linderlof mzee umepepesa,,yule Iceman ndio best defender Bora ktk ligiWakuu hongereni kwa kucheza vizuri japo tulifungwa
Poleni kwa kusumbuliwa na vidudu Mtu wa kutoka timu nyingine wasiojua mpira zaidi ya matusi (sizungumzii wastaarabu kama Don Clerenzo et al. )
Observation yangu, kiufupi over all tulicheza vizuri, hususani baada ya kufungwa goli
Bado kuna shida kwenye creativity, tunamtegemea sana Pogba ambaye kuna siku huwa hayupo kwenye form (kwa jana amecheza wastani, sio vibaya).
Ole kuna mambo arekebishe
Ana imani na baadhi ya wachezaji hususani wa kiingereza wasio na kiwango toshelezi. Mfano alihitaji sana goli, lakini anamtoa Lukaku (ambaye ni tishio kwenye mipira yote ikiwemo ya juu) halafu anamuacha Rashford (sisemi Rashford ni mbovu, lakini si mchezaji wa kumuweka benchi Lukaku)
Ole alinishangaza pia kumtoa Dalot na kumuacha Young. Young ni captain wetu, anacheza kwa moyo wote kwa ajili ya timu, anajua thamani ya badge ya United lakini uzalendo kwa timu pekee hautoshi, tunahitaji uwezo.
Kumtoa Dalot ambaye ni mpiga krosi mzuri halafu anamuacha Young siamini kama ni uamuzi mzuri. Sub ya Pereira alipaswa kumtoa Young.
Smalling so far he is our best central defender, hata nikiambiwa niwapange kwa umuhimu, ataanza yeye atafuta Lindelof. Najua hapa tunatofautiana.
OGS ameshapata midfielder yake. Pogba akiwa na Fred na Tominay unaona timu inakuwa na haraka hata katika kupanga mashambulizi, kabla ya kufanya usajili OGS ajikite kwenye hii midfielder 3.
Messi alicheza? Sikumuona kabisa, labda kwa sababu ya kimo chake, hakuwa man-marked lakini alipotezwa kabisa. Ukiniambia nikumbushe tukio la Messi jana ni pale alipotoka damu, na virafu uchwara alivyokuwa anacheza.
Kichekesho, leo sisikii Messi akitajwa tajwa
Bosquet alicheza virafu vingi sana, ishara kwamba mechi ulikuwa ngumu kwao.
Nafasi ya kuwatoa Barca bado ipo
Man Utd ni wafalme kutoka nyuma na kushinda. Hili halijaanza msimu huu (waulize Juventus 1998/1999). Sitakumbusha kilichowakuta Juventus na PSG msimu huu.
Lakini bado nakubali Barca ni moja kati ya timu (ngazi ya club) bora duniani, ndio maana inakutana na bora wenzake kama United. Kuna timu humu hazijawahi kukutana na Barca tangu 2006, siku chache baada ya Kikwete kuapishwa kuwa rais wetu kwa mara ya kwanza
Luke Shaw kutokuwepo mechi ya Camp Nou ni kikwazo. Lakini wapo watu watakaofanya kazi ambayo amekuwa akiifanya kwa siku zote.
We are Manchester United
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleza vizuri ila kwa Smalling ni beki bora na zaidi ya Lindelof hapana kwa sababu, Smalling hana consistency utaona leo yuko poa kesho yuko hovyo au kesho kutwa kawaida.Wakuu hongereni kwa kucheza vizuri japo tulifungwa

Huyu Mc Tominay siyo wa mchezo ni kama ka fletcher vile katulia anakaba kwa ufundi tena ndani ya box bila kusababisha faulo kwa dakika 90 good boy.atakapoondoka marcos rojo hii namba 16 ni bora apewe scott mctominay, sielewi kwa nini tunataka kuingia kwenye mtego wa media za kiingereza za kutaka kumsajili declan rice.
hivi rakitic pamoja na arthur melo walikuwepo uwanjani?kama yupo mdau anayeamini siku moja rashford atakuwa mchezaji bora basi aendelee kuwa na imani hiyo mpaka kufa kwake.
man utd 0 barcelona 1
View attachment 1068168
Mkuu leo timu imecheza vizuri sana,pogba hakuwa na utoto.
Fred utadhani sio yule tunayemjua, amefanya kazi nzuri sana huyu jamaa.
Young sijui anapangwa wa nini huyu babu. Mipira yake haifiki lazima agonge mtu.
Of course kule mbele kulipwaya sana lakini attacking midfield ilikosa creativity tulihitaji wings nzuri lakin tumepiga cross Moja tu aliokosa dalot.√Fred na McTominay wamecheza vizuri sana leo..sioni haja ya kurudi kumpanga Matic kwa mechi zilizosalia
√Sehemu inayotuangusha sana ni mbele kule hakuna Quality inayohitajika..
√Young anaweza sasa kuvunjiwa mkataba wake asepe..Men!! That was pathetic..kina alexender anorld na Robertson wanamaassist ya kutosha,sisi Young kupiga tu hata krosi ya kueleweka hawezi..He can fecking leave now
√kama ni kusajili tuanze kule mbele then turudi kutafuta RB ya maana
√If pogba want to leave,he can f.ecking leave..who cares??
Ukitaka kumalizia mkazo wa ugumu wa maisha yako binafsi kwenye ushabiki wa mpira ndio utajikuta unatokwa na matusi bila sababu.
Tumekuwa na akina King Ngwaba humu kila siku tunabishana na sijawahi ona wakitokwa na matusi.
[emoji23][emoji23]ajabu leo sijui hivi vitoto vimetokea wapi vinachafua thread.
Haahahahha! Sidhani kama ule ukwasi anaoukusanya anapewa kwa ajili ya kwenda kurukaruka uwanjani. Acha utani mzee babamesi hana lolote anaruka ruka tu uwanjan
Mchambuzi uchwara mmepigwa ngapi jana
unakumbuka game ya kwanza ya PSG ?
Inahusiana nini na mechi ya jana?unakumbuka game ya kwanza ya PSG ?
Hahaaaaa nilikuta Jana kibanda umizaView attachment 1068586
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba