Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
√Fred na McTominay wamecheza vizuri sana leo..sioni haja ya kurudi kumpanga Matic kwa mechi zilizosalia
√Sehemu inayotuangusha sana ni mbele kule hakuna Quality inayohitajika..
√Young anaweza sasa kuvunjiwa mkataba wake asepe..Men!! That was pathetic..kina alexender anorld na Robertson wanamaassist ya kutosha,sisi Young kupiga tu hata krosi ya kueleweka hawezi..He can fecking leave now
√kama ni kusajili tuanze kule mbele then turudi kutafuta RB ya maana
√If pogba want to leave,he can f.ecking leave..who cares??