Ndio. Tena kwa 100%
Teh teh teh.
City are warmly welcome. Ushindi haupatikani kilaini laini, they've to do their homework
Ndio. Tena kwa 100%
Du wenyeji mmelikimbia jukwaa lenu? Naona Bilbao mambo siyo mambo. Napita tu kuwapa pole!
tupo tupo
Tupo jamani tupo naona kuna watu wanatukumbuka wakati wa shida tu.
Billy blanks leo yukwapi?
Dah!? Leo naona mnaongea yote.
Kwani aggregate ni ngapi ngapi?.....