Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ahahahaaah,hii ligi bana,naona taratibu watu wanashika nafasi zao,watoto wanarudi nyuma na wakubwa wanakwenda mbele.

Good performance by the RedDevils.I knew they were going to slip at one point and we are back in business,Champio20s in the making...Glory...glory...Manchester United.
 
tukijipanga tuwafunge ktk marudio ndio itatupa uhakika zaidi!huu si wakati wa kuwategemea wengine wammalize!kazi nzuri vijana wamefanya so far!
 
Hongereni kwa ushindi lakini naomba niwape habari ambazo hamtaki kuzisikia. City anachukua ubingwa msimu huu. Nukta!
 
Dah.....sijui hata nisemeje......maana nachoka kusema hongereni Mashetani Wekundu.........its too much hongeras........sasa hivi nitakuwa naandika....OK!

.......mkifungwa nitakuwa naandika......well well well!.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…