Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uzi wao umejaa simanzi tu hakuna constructive ideas kama kwa mashabiki wa man u
Huwa wanautembelea pale Arsenal anapofunga goli tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huku mnajadili nafas ya 6 ,ndio furaha yenu au sio

Manyumbu bhana,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
When you were born a domokaya, you wil always be a domokaya

Tatizo ukiwa kilaza ni ngumu kuelewa, Arsenal kuifunga United mara 1 kwa miaka 10 unaona ni mafanikio ya maana

Wewe umesahau nilipokukojolea vitatu kwako?
Endelea kuongea pumba na uchambuz uchwara, unakumbuka uliletaga uchambuz uchwara tukakubamiza 2-0

Leo umekuja na uchambuz uchwarwa tena kuhusu barca

Jumatano nakuja kufukua makaburi

Maana manyumbu akili zenu mnazijua wenyewe,timu lenu bovu halafu unawaza kuwafunga barca kwa kuvizia ,hahaaaaaView attachment 1066007

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa Arsenal % kubwa huwa hawajielewi kama huyu dogo

Kosa kubwa walilolifanya kwenye maisha yao ni kuchagua kuwa mashabiki wa Arsenane, wanatamani wabadili lakini kubadili timu ni ngumu mno
Uzi wao umejaa simanzi tu hakuna constructive ideas kama kwa mashabiki wa man u
Huwa wanautembelea pale Arsenal anapofunga goli tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa Arsenal % kubwa huwa hawajielewi kama huyu dogo

Kosa kubwa walilolifanya kwenye maisha yao ni kuchagua kuwa mashabiki wa Arsenane, wanatamani wabadili lakini kubadili timu ni ngumu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya nyumbu,

Unasema mm dogo, utakuja kutukana baba yako mdogo

Kuwa na heshima kijana

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
When you were born a domokaya, you wil always be a domokaya

Tatizo ukiwa kilaza ni ngumu kuelewa, Arsenal kuifunga United mara 1 kwa miaka 10 unaona ni mafanikio ya maana

Wewe umesahau nilipokukojolea vitatu kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako ww ni nyumbu hivo huwez kuelewa chochote, umebak unabwabwaja humu,

Unaleta makala uchwara,

Leo unakuja na makala uchwara tena,

Jtano nakuja kufukua kaburi hapa, wewe si nyumbu

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Vipi kuhusu Man Utd ambayo PSG walikutana nayo Paris Mkuu? Yenyewe si ilikuwa handicapped na legcaped kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda naangalia tofauti kwa sababu mimi siyo mshabiki wa Man Utd, ila naona kama games zote mbili Neymar angekuwepo na nyinyi mkawa mmetimia matokeo yangeweza kuwa tofauti.

NB: PSG hajawahi kuwa tishio UEFA.
 
Mkuu nimefuatilia football muda sana na nlichogundua kinachoamua game sio ubora wa kikosi ni tactics na mipango tu ..... wazee wenyewe wa odd walikuwa wanaseza kumpa man u odd 9 huko alafu Barça wampe odd 1 lakin hawawezi rhinitis na wakithubutu watafilisika wote.....
I have a belief matokeo hayaendi kuwa kama wengi wanavyoogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naheshim mtazamo wako brother. Ila yangu macho na kwakua ni mpenzi sana wa Hii timu sitoweza kuangalia ntasubiri matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"TOP 10, STATS FOR UNITED VS BARCELONA"
:
Wapinzani Wetu Kwenye Robo Fainali Ya UEFA Champions League Jana Walishinda Kwa Goli 2-0, Vs Atletico Madrid Na Kujikita Kileleni Kwa Tofauti Ya Point 11, Huku Game 7, Tu Zikisalia.,
:
Ole Gunnar Solskjaer Na Mike Phelan Walikuwa Ni Miongoni Mwa Waliohudhuria Kwenye Game Hiyo Ikiwa Ni Takribani Siku 2, Zimesalia Kabla Ya Kukutana Nao Jumatano Pale Old Trafford.,
:
Zifuatazo Ni Takwimu 10, Zinazohusu Game Ya Man United Vs Barcelona.,
:
{1} Man United Na Barcelona Zimekwisha Kutana Mara 11, Iliyopita Huku United Ikishinda Michezo 3, Ikitoa Sare 4, Na Ikipoteza Game 4.,
:
{2} Mara Ya Mwisho Kwa United Kushinda Vs Barcelona Katika Dimba La Old Trafford Ni Mwaka 2008, Kwa Kuifunga Goli 1-0, Huku Goli Hilo Likifungwa Na Paul Scholes Na Kuipeleka United Kwenye Fainali Kule Moscow.,
:
{3} Man United Haijawahi Kupoteza Katika Michezo 4, Ikiwa Nyumbani Dhidi Ya Spanish Giants, Ikishinda Michezo 2, Na Kutoka Sare 2.,
:
{4} Record Ya United Kwenye Champions League Na Kombe La Ulaya Kwenye Robo Final Iko Hivi, United Imeshinda Game 12, Ikipoteza Game 6, Huku Mara Ya Mwisho Kucheza Katika Hatua Hii Ni 2014, Na Ilipoteza Kwa Jumla Ya Goli 4-2, Dhidi Ya Bayern Munich.,
:
{5} Man United Imeshinda Game 17, Ikitoka Sare Game 5, Na Ikipoteza Michezo 6, Kwenye Michezo 28, Iliyopita Ya Mashindano Ya Ulaya.,
:
{6} Gerard Pique Anarejea Old Trafford Kwa Mara Ya Kwanza Tangu Alipoondoka Mwaka 2008, Na Amefunga Mara 2, Katika Michezo 23, Baada Ya Kuhudumu Miaka 4, Akiwa United.,
:
{7} Hii Ni Mara Ya Pili Kwa United Kukutana Na Timu Kutoka Spain Msimu Huu, Baada Ya Kucheza Na Valencia Kwenye Groups Stage.,
:
{8} Barcelona Inakutana Na Timu Kutoka England Kwa Mara Ya Pili, Baada Ya Kushinda 4-2 Away Na Sare Ya 1-1, Wakiwa Nyumbani Vs Tottenham Hotspur Kwenye Groups Stage.,
:
{9} Barcelona Imeondolewa Kwenye UEFA Champions League Hatua Ya Robo Fainali Mara 4, Katika Misimu 5, Iliyopita Wakipoteza Dhidi Ya Atletico Madrid Mara 2, Juventus Na AS Roma.,
:
{10} Barcelona Imeshinda Mara 14, Katika Michezo 24, Kwenye 2nd Leg Dhidi Ya Vilabu Vya England, Huku Mara Ya Mwisho Kupoteza Ilikuwa Kwenye Nusu Fainali Dhidi Ya Chelsea Mwaka 2012.,
:
{>>>>>>>>>>>>>>>>>>>:
#mufc4life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PhotoGridLite_1554032117277.jpg

teh
 
Back
Top Bottom