Possibly, as long as siyo direct transfer. Means ngumu in ku-cross moja kwa moja.
Ila ukipita kwingine inawezekana.
The last person ni Owen, sema ilimpotezea Legacy kiaina, maana mpaka leo ukijiuliza identity ya Owen ni LFC au Man Utd huwezi kuipata.
Hata Mwenyekiti wa bodi ya Arsenal akicheza namba moja na Odoi, Odoi hapati namba.
- smalling ameshasaini mkataba mpya halafu jamaa ndiye mlinzi wetu pekee mwenye takwimu nzuri za kiafya sidhani kama ni sahihi kumuondoa.
- jones ameshapewa mkataba mpya na yupo kwenye mipango ya ole haijalishi ni mchezaji wa kitandani (injury prone).
- bailly na marcos rojo hatma yao haijulikani.
- mwisho united hawana uwezo wa kuondoa walinzi watano then wakaingiza wengine.
- sijaona udhaifu wa lukaku hata tufikie maamuzi ya kumuondoa.
Lukaku na Smalling wabaki....kweny list muweke mata japo bas tu ila muweke
SAF was the best tactician huwezi mlinganisha na OGS kwa chochote alikuwa flexible according to opponent anayekutana naeAnaamini katika player's spirit zaidi kuliko kipaji ndio maana tetesi za usajili zimejaa sura za kiingereza zaidi.
nafasi ya DOF ipo wazi mkuu fanya haraka utume CV yako kabla mr ed woodward hajamchagua rafiki yake wa karibu.Bailly ana challenge moja kubwa, sometime ni reckless lakini kiujumla ni beki mzuri
Smalling is our best defender on aerial ball, best defender ku deal na speedy attackers, sio mzuri kwenye kuufanya mpira anachotaka ila kwangu ni Mr. reliable
Rojo ni prone to injury, reckless pia ninaona level zake ni kucheza Everton na Watford
Jones sio mbaya kiivyo, ila ninaona sio good enough kwa level ya United
Kuongezwa mkataba kwa Jones inaonekana either OGS ana mpango naye au ameongezwa mkataba ili hata akiondoka, isiwe bure
Kwangu naona kama ni kuondoa watu pale nyuma (CD) aanze na Rojo na Jones
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha tu, mata namkubali sana sema ndy hivyo yan.Hahahahahaha, jamaa umenichekesha, eti muweke Mata japo basi tu ila muweke
Wanamuita Mata Mr. Nice Guy, anapendwa na kila mtu
Lakini ukweli ni kwamba kwenye kufanya maamuzi lazima tuondoe hisia tutumie akili kufikiria, Mata aende, arudi kama ambassador siku za mbele huko
Sent using Jamii Forums mobile app
SAF was the best tactician huwezi mlinganisha na OGS kwa chochote alikuwa flexible according to opponent anayekutana nae
OGS anastruggle now opponent wameshaujua mfumo wake na plan B inamshinda na anashindwa kuwaeleza ukweli wachezaji wanaocheza chini ya kiwango OGS hana ubavu kumpiga benchi Pogba, Rashford hata kama wanacheza vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Uombe hiyo hela ukiwa na consistency na kiwango chako.Vizuri sana, me pia nawasikitikia wanao mlaumu Pogba. Ingelikuwa mimi pia ningefanya hivyo na zaidi.Club tajiri zaidi duniani, unaona haya kuomba Pound 500,000/- per week??
Smalling. Rojo. Jones. Young. Baily sio wachezaji wa standards za United.Bailly ana challenge moja kubwa, sometime ni reckless lakini kiujumla ni beki mzuri
Smalling is our best defender on aerial ball, best defender ku deal na speedy attackers, sio mzuri kwenye kuufanya mpira anachotaka ila kwangu ni Mr. reliable
Rojo ni prone to injury, reckless pia ninaona level zake ni kucheza Everton na Watford
Jones sio mbaya kiivyo, ila ninaona sio good enough kwa level ya United
Kuongezwa mkataba kwa Jones inaonekana either OGS ana mpango naye au ameongezwa mkataba ili hata akiondoka, isiwe bure
Kwangu naona kama ni kuondoa watu pale nyuma (CD) aanze na Rojo na Jones
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazani yeye hapendi kumuangalia "little Magician" ,Messi live.Unajua huyu mzee OGS simuelew kabsa. Saiv kafunga safar anaenda kuangalia game ya ATM vs Barca. Ndiyo yaleyale, alikula nauli akaenda kuangalia game ya Psg, timu ikashonwa 2. Saiv anatafuna nauli nyingn tena anaenda kuwaangalia barca, atashonwa ngap sasa? Hata kama hiyo hela haiathiri kitu lakin ni unazi. Hich kiherehere cha kuchawia mechi zawatu ni kibaya sana! Si ukae kweny makochi nyumban uangalie kweny tv!!
Sasa kwanini hakusafir kuangalia game ya Wolves wakicheza na burnely? Huu unazi asifikir kuna sehem anafika.
Mbn kina Klopp, pep, Allegri, ten Hag wa Ajax hawawashwi kufata timu pinzan nyumbn kwao? Wao hawana papara, wanaelewa kazi ilivyo.
Hahahaha Hahahahanafasi ya DOF ipo wazi mkuu fanya haraka utume CV yako kabla mr ed woodward hajamchagua rafiki yake wa karibu.
Mkuu kwanza naomba nikwambie kwann makocha wanaenda kuangalia mechi uwanjani na sio kwenye TV kana sisi.....Makocha wanaenda uwanjani kabisa ili waone position ya kila mchezaji na movement zao nje ya mpira, kwenye TV tunaona mpira tu unapoeleweka but ukiulizwa je kuna movement gani wanazifanya wasipokuwa na mpira au wakiwa na mpira wachezaji wengne wanakaa wapi inakuwa shida.....so mm kwangu naona ni sawa as long as kocha anachukua kitu kutoka kwenye game hii..... pia hao makocha uliowataja sio kweli kwamba hawaendagi kuangalia Mechi za wapinzani sio kweli, sema tu Manchester ni brand kubwa so kocha anaangaliwa wachezaji wanaangaliwa..... Issue anazofanya pogba si mendy nae anafanya mbona mendy haongelewiUnajua huyu mzee OGS simuelew kabsa. Saiv kafunga safar anaenda kuangalia game ya ATM vs Barca. Ndiyo yaleyale, alikula nauli akaenda kuangalia game ya Psg, timu ikashonwa 2. Saiv anatafuna nauli nyingn tena anaenda kuwaangalia barca, atashonwa ngap sasa? Hata kama hiyo hela haiathiri kitu lakin ni unazi. Hich kiherehere cha kuchawia mechi zawatu ni kibaya sana! Si ukae kweny makochi nyumban uangalie kweny tv!!
Sasa kwanini hakusafir kuangalia game ya Wolves wakicheza na burnely? Huu unazi asifikir kuna sehem anafika.
Mbn kina Klopp, pep, Allegri, ten Hag wa Ajax hawawashwi kufata timu pinzan nyumbn kwao? Wao hawana papara, wanaelewa kazi ilivyo.
In summaryMkuu kwanza naomba nikwambie kwann makocha wanaenda kuangalia mechi uwanjani na sio kwenye TV kana sisi.....Makocha wanaenda uwanjani kabisa ili waone position ya kila mchezaji na movement zao nje ya mpira, kwenye TV tunaona mpira tu unapoeleweka but ukiulizwa je kuna movement gani wanazifanya wasipokuwa na mpira au wakiwa na mpira wachezaji wengne wanakaa wapi inakuwa shida.....so mm kwangu naona ni sawa as long as kocha anachukua kitu kutoka kwenye game hii..... pia hao makocha uliowataja sio kweli kwamba hawaendagi kuangalia Mechi za wapinzani sio kweli, sema tu Manchester ni brand kubwa so kocha anaangaliwa wachezaji wanaangaliwa..... Issue anazofanya pogba si mendy nae anafanya mbona mendy haongelewi
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaMan United wawe makini katika swala la kuondoa wachezaji na kupata mbadala sahihi wasijekufanya upuuzi wa LVG kuuza strikers halafu kumtegemea Fellain
Hivi Team Kama Barcelona Unaingalia Ili Iweje Maana Inajulikana Kabisa Inavyocheza Pique Anapiga Kwa Rakitic, Rakitic Anapunguza Wa Kwanza Anapiga Mpira Pemben Kwa Messi Messi Anapiga Mtu Kanzu Anaweka Kwa Suarez Suarez Anatisha Anaweka Pemben Kwa Coutinho Coutinho Anarudisha Kwa Messi Messi Na Degea Mama Yangu Degea Analala Chin Mpira Unapigwa Banana Gooooooooaaaaaal Mwisho Wa Siku Barcelona 4 Nyumbu 0Unajua huyu mzee OGS simuelew kabsa. Saiv kafunga safar anaenda kuangalia game ya ATM vs Barca. Ndiyo yaleyale, alikula nauli akaenda kuangalia game ya Psg, timu ikashonwa 2. Saiv anatafuna nauli nyingn tena anaenda kuwaangalia barca, atashonwa ngap sasa? Hata kama hiyo hela haiathiri kitu lakin ni unazi. Hich kiherehere cha kuchawia mechi zawatu ni kibaya sana! Si ukae kweny makochi nyumban uangalie kweny tv!!
Sasa kwanini hakusafir kuangalia game ya Wolves wakicheza na burnely? Huu unazi asifikir kuna sehem anafika.
Mbn kina Klopp, pep, Allegri, ten Hag wa Ajax hawawashwi kufata timu pinzan nyumbn kwao? Wao hawana papara, wanaelewa kazi ilivyo.