Mkuu lile la Figo sio deal tu, nlisoma story yao Perez alipiga ndege wawili kwa wakati mmoja.... Ilikuwa hivi kipindi Perez anagombea pale Madrid, Madrid walikuwa na rais wao jna lmentoka...sasa jamaa katika campaign na board ya Madrid aliahidi kumleta Figo, alafu alivyopata nafasi ya kuongea na Figo Akawekeana Bet na Figo, kuwa endapo Perez akichukua kiti cha urais bas Figo ataenda Madrid...na Figo alikubali maana Perez hakutazamiwa kushinda kabisa...hahahahaaaaaaaa tumuige mzee florentino perez na fitna zake.
sterling amekuwa hatari kuliko smg
dah! ahsante sana kwa hii elimu ya leo.Mkuu lile la Figo sio deal tu, nlisoma story yao Perez alipiga ndege wawili kwa wakati mmoja.... Ilikuwa hivi kipindi Perez anagombea pale Madrid, Madrid walikuwa na rais wao jna lmentoka...sasa jamaa katika campaign na board ya Madrid aliahidi kumleta Figo, alafu alivyopata nafasi ya kuongea na Figo Akawekeana Bet na Figo, kuwa endapo Perez akichukua kiti cha urais bas Figo ataenda Madrid...na Figo alikubali maana Perez hakutazamiwa kushinda kabisa...
At the end Perez akashinda, na Figo akatakiwa kutimiza ahadi, jamaa wanasema Figo alimuomba sana rais Barça alipe kiasi fulan abaki Barça but kiasi kikawa kikubwa mno so akaenda Madrid kishingo upande ila.... .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakawaida ,ila anapigiwa debe balaa, hata huyo odoi sio kama wanavyompamba, ni aina ile ile ya kina walcoth, ila media zinavyowapromot kila siku unaweza kudhan mbappe mpya kazaliwa uingerezanaapa na mungu hii video declan rice imenishangaza sana nilipokuwa naiangalia muda huu, wala sihitaji kupoteza tena muda wangu kuangalia mechi ya west ham ili nimuone huyu bwege.
jamani mafundi wapo tele duniani
ndombele, thomas partey, pjanic, saul, Doucouré
HahaaaaaVizuri sana, me pia nawasikitikia wanao mlaumu Pogba. Ingelikuwa mimi pia ningefanya hivyo na zaidi.Club tajiri zaidi duniani, unaona haya kuomba Pound 500,000/- per week??
ndombele, thomas partey, pjanic, saul, Doucouré
afadhali kwenu james milner bado anajitahidi.Nasemea kwa kutaka faida double plus Home-grown Quotas basi Dier yuko poa kwa viungo vya Kiingereza. Wote tunafahamu na tunalalamikia sana kuwa Waingereza hawajui mpira ila ishu ya uzawa ndio kikwazo na tatizo hili lipo sana pale Anfield kuliko hata hapo kwenu
Wakawaida ,ila anapigiwa debe balaa, hata huyo odoi sio kama wanavyompamba, ni aina ile ile ya kina walcoth, ila media zinavyowapromot kila siku unaweza kudhan mbappe mpya kazaliwa uingereza
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
afadhali kwenu james milner bado anajitahidi.
gomez majeruhi yamemuondoa kikosi cha kwanza.
sturridge ameshuka sana kiuwezo.
lallana majeruhi yamemfanya awe flop.
arnold yupo vizuri.
robertson yupo vizuri
henderson mzee wa square pass 🙁🙁
ukija kwetu nusu na robo wanacheza kikosi cha kwanza tofauti na huko kwenu
Mbinu zipi za Fergie anazotumia?inawezekana ogs si mwalimu wa mpira wa kisasa,ana copy na ku paste mbinu za fergie kama wengi walivyokuwa wakivumisha hata kwenye baadhi ya mechi zake kuwa anapewa mwongozo,anaendeshwa na media za kiingereza au anafuata utamaduni wa united kutoa vipaumbele kwa wachezaji wazawa kwanza.
nahisi naanza kuikatia tamaa hii timu.
Odoi pale assanal nani anamueka bench?Wakawaida ,ila anapigiwa debe balaa, hata huyo odoi sio kama wanavyompamba, ni aina ile ile ya kina walcoth, ila media zinavyowapromot kila siku unaweza kudhan mbappe mpya kazaliwa uingereza
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
19points.You guys you are so fun [emoji23][emoji23].
Mnaongea kuhusu top four as if it is a trophy, Manchester ndio timu ya kulilia top four kweli? [emoji23][emoji23], nakumbuka kipindi tunaicheka arsenal kwa kupigania kuingia top four, leo imetugeukia (karma is bitch?
Now let's talk about the position ambayo real Manchester utd inatakiwa kuwa. The time mourinho anaondoka we were nineteen points behind the leader, and how about now, tupo points ngapi behind the leader? Come and tell me about the improvement. Stop talking about top four kama vile kuna medal yyte timu inapata kwa kuingia top four.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheltako bhana, sasa yule ni mchezaj wakupiga kelele
Hahaha
Hiyo ni copy ya Sergio busquets wao wa Hispaniola wanauita the new busquets.Rodrigo hernandez(Atletico Madrid)
Kiungo mzuri sana, angetufaa kama DM.
Naona City wakimchukua.
Sent using simu mbovu