Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tusiwe biased kwenye hiyo list ni wachezaji wawili tu ambao kwa msimu wanacheza angalau match tano hivyo ulitaka awekwe smalling over bailly ambaye msimu huu hajafanya lolote la maana kikosini ?
Au ulitaka awekwe young over Damian ambaye msimu unakaribia kuisha amecheza mechi Moja?

Tunataka overhaul lakini siyo overhaul ya kivuta bangi na kwa hali ya team ilivyo tusitegemee hata kama team itanunua wachezaji kumi at once tutabeba EPL next season team itahitaji kukaa pamoja angalau for a season.

Mpira hauna mafanikio ya haraka kama kuoka mikate lazima tuwe na subira na mipango ya kutuondoa hapa tulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app

sijakubishia kwenye hayo mengine lakini kuna aina fulani ya ubaguzi wa kiingereza ukiangalia kwa undani kiwango cha wanaotoka (baadhi) na walioachwa (baadhi).
Kama sivyo,inawezekana malengo yetu si ubingwa ila biashara zaidi.
 
Kwanza OGS hajaanza kutekeleza mipango yake ya usajili tunawezaje kumlaumu na kuanza kuona mapungufu yake wakati Kitu pekee alichokifanya ni kutransform morali ya team tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app

tunaongelea speculation za usajili na wachezaji wanaotarajiwa kuachwa,anzia mwanzo mkuu.
 
Arsenal ana fixtures za Toffees, Watford, Wolves na Burnley ugenini

Arsenal ana fomu nzuri sana nyumbani, lakini ugeni amekuwa tia maji tia maji especially kwa hizo timu nilizozitaja akiwa ugenini atapata tabu sana. Lakini kiujumla timu ya Arsenal haijawahi kuaminika.

Chelsea ana fixtures za Man na Liverpool away, hapo sijataja mechi zake dhidi ya mid "tablers" ambapo juzi tu dhidi ya mshuka daraja Cardiff umeona alivyomhenyesha

Spurs amebaki na Man City, lakini mechi nyingine alizobaki nazo sio ngumu sana. Lakini kumbuka huwa anafungika na timu ndogo pia, angalau Spurs ndio yupo pazuri

Kwahiyo top 3 race bado ipo open Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba wewe manure utashinda gemu zote. Si ndio??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama msimu ujao bado tutakuwa tunamtegemea Young na Victor-Smalling partinership, tuandike maumivu.

Summer itatupa picha hawa jamaa wana malengo gani. nataka nione kama Ed na Glazzers wako serious.


Sent using simu mbovu

😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆


Mambo ya uzawa kumbe yapo hadi huku Ahahahha
 
Man u ni team inayoongoza kwa kufanyiwa speculations EPL hata kwa wachezaji ambao wala haina mpango nao.

Kwahiyo speculations za usajili zisikupe shida sana tusubiri tuone ole atasajili wachezaji wa aina gani lakini pia kuna wadau humu waliweka orodha ya wachezaji wanaotamani wawaone next season man u orodha ile ilikuwa na waingereza wengi kuliko foreigners

mc cane aliwataja kina
Wana bissaka, Bruno Fernande's Harry Maguire , Odoi na Jordan Sancho unaweza kuona hapo hiyo list kuna waingereza wangapi ?

Tanayzer naye alitaja waingereza watatu Sancho, Bissaka na Rice

Sasa hapo hiyo hoja yako ya kuwa overhaul inafanyika kuleta waingereza wakati hata suggestions zetu fans zimejaa waingereza hauoni kuwa haina mashiko ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bailly kusema kweli msimu huu hajafanya vizuri hata kidogo unakumbuka ile game aliyotolewa dakika ya 26 baada ya man u kupigwa goli mbili ndani ya dakika hizo?

Katika mechi zote alizocheza bailly man ama alifungwa kwa makosa ya defence au alitoka sare au alianziwa kufungwa goli kisha akachomoa.

Kwangu mimi smalling anajitahidi kuliko Bailly hivyo ni sahihi kumwachia aondoke tu heri tutafute beki mwingine kuliko kuendelea kubaki na madefender wengi mapazia

Sent using Jamii Forums mobile app
Smalling ni bora kuliko Bailly by far

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole hata sub za juzi pia alichemka ukweli lazma tuseme ! Lukaku ilibidi asitoke na hata dalot ! Fred pia bora angetoka yule zeru alofunga goli hata timu ya taifa anaanzia nje

Sent from my SM-G928C using Tapatalk
Kocha pale alichemka..

√unamtoa Fred aliyekuwa anadrive timu mbele unamwingiza Jones

√Unamtoa Lukaku unamwacha Lingard uwanjani

This is totally unacceptable..ila ni mapema sana kuongelea attitude za Ole,tusubirie apewe hela aingie sokoni,apate timu yake then tuone output..
 
Sio kwa sababu ni mwingireza ndio asim replace Ander

Kinachoniuzi kwa sababu mwingereza ndio anatajwa amre place Ander

Mimi sina personal issues na waingereza, lakini wanapobebwa na kusifiwa ujinga sababu ya utaifa wao ndio shida inaanzia hapo

Ndio maana ninamkubali Sancho, ndio maana bado nina imani na Smalling

Lakini eti uniletee story za Phill Neville kwamba tumsajili Dier kama njia ya ku transform middle ya United lazima nitapinga tu
Kwani Declan Rice kama anakiwango kizuri hatakiwa kumreplace Herrera simply kwa sababu ni mwingereza ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magazeti yenyewe ya waingereza mlitegemea yawapigie chapuo wachezaji wa kibrazil? It is impossible
Lazima yatakuwa biased kwa kiwango fulani
Sio kwa sababu ni mwingireza ndio asim replace Ander

Kinachoniuzi kwa sababu mwingereza ndio anatajwa amre place Ander

Mimi sina personal issues na waingereza, lakini wanapobebwa na kusifiwa ujinga sababu ya utaifa wao ndio shida inaanzia hapo

Ndio maana ninamkubali Sancho, ndio maana bado nina imani na Smalling

Lakini eti uniletee story za Phill Neville kwamba tumsajili Dier kama njia ya ku transform middle ya United lazima nitapinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu sana maana utalazimika ununue defenders wasiopungua wanne hasa Rojo na Bailly watakapoondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukimleta K.K na wanna-bisaka.

Backline yako inakuwa

L.Shaw--K.Koulibaly---lindeloof---WB

Moja kwa moja hapo young na smalling hawaingi kwenye first eleven, wanakuwa backup(maybe sifahamu maana ya backup)

Sent using simu mbovu
 
Hahahahhaha

Sijui mumchukue Coutouis maana kuna vyanzo vya habari vinavujisha kuwa De Gea kakaza kamba akiwa anataka mumlipe mshahara wa pauni laki nne kwa wiki

Mkienda kwa Oblak mtapigwa hata zaidi ya pauni milioni mia
 
Muungeni mkono Ole,kazi aliyo ifanya Man U ni remarkable sana!
Aliikuta Man U ipo hovyo sana sasa inaeleweka
Mna mechi nyingi bado,mtakuwa OK
Karibuni Melwood kwenye party yetu ya ubingwa
Nani bado hayaogopi MAJOGOO?
Jogoo hachukui ubingwa
 
Back
Top Bottom