Ole Ole Ole Ole Manchester United suck, suck, suck, suck hii ni remix. Vijana wa zamani aka Wahenga mnajua huu wimbo.
Muda wa kutafuta kocha mpya unanukia mapemaaaa.
Tusiposhinda leo madhara yake ni makubwa mno, tutakuwa hatarini kukosa top four, mbaya zaidi wachezaji watakosa kujiamini kwa mechi na Barcelona katikati ya wiki ijayo.