Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hamna kwanza man u haina mapungufu ya fullbacks na goli chache sana tumefungwa kutokana na kupwaya kwa full backs.

Nachoona Mimi nikuongeza right wing tu kwa upande huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye modern football kazi ya FB sio kuzuia tu especialy kwa timu ambayo haina winga wa kulia na wa kushoto(Martial/Sanchez wanastruggle)

Joshua Kimmich RB-10 assist
Andy Robertson LB-9 assist
Jordi Alba LB-7 assist
Alexander-Arnold RB-6 assist
Lukasz Piszzeck RB-6 assist
Benjamin Mendy LB -5 assist
Hector Bellerin RB-5 assist
Saed Kolasinac LB-5 assist
Raphael Guerrrero LB -5 assist

Kuna fullback ambao wana contribute magoli mengi kuliko washambuliaji wetu,tunamsifia Shaw ndio mchezaji wetu bora lakini ana assist 3 + 1 goal tena akiwa kwenye msimu wake 5
United imekuwa too predictable karibia mechi 7/8 zilizopita timu inastruggle sana kwenye kushambulia na ku-defence ,timu inahitaji massive improvement
 
Ndiyo maana nikasema Man u hawamuoni Ruben Neves ?
Ila tuseme ukweli pale kati Pogba huwafanya wenzake wacheze kwa tahdhari muda wote maana maboko anayotoaga siyo ya kiungo level yake

Kama pale katikati hapatafanyiwa marekebisho basi tutaendelea kuwalaumu mabeki wetu hata tukisajili wapya.

Viungo wetu wanapoteza mipira kama walevi vile,wote ni wazito kupindukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaposema hivi tukumbuke pia timu zote hizo tulizozitaja zinacheza katika mfumo gani kwa sababu team zote hizo ulizoorpdhesha hazichezi kwa counter attack kama Man u
Kwenye modern football kazi ya FB sio kuzuia tu especialy kwa timu ambayo haina winga wa kulia na wa kushoto(Martial/Sanchez wanastruggle)

Joshua Kimmich RB-10 assist
Andy Robertson LB-9 assist
Jordi Alba LB-7 assist
Alexander-Arnold RB-6 assist
Lukasz Piszzeck RB-6 assist
Benjamin Mendy LB -5 assist
Hector Bellerin RB-5 assist
Saed Kolasinac LB-5 assist
Raphael Guerrrero LB -5 assist

Kuna fullback ambao wana contribute magoli mengi kuliko washambuliaji wetu,tunamsifia Shaw ndio mchezaji wetu bora lakini ana assist 3 + 1 goal tena akiwa kwenye msimu wake 5
United imekuwa too predictable karibia mechi 7/8 zilizopita timu inastruggle sana kwenye kushambulia na ku-defence ,timu inahitaji massive improvement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nikasema Man u hawamuoni Ruben Neves ?
Ila tuseme ukweli pale kati Pogba huwafanya wenzake wacheze kwa tahdhari muda wote maana maboko anayotoaga siyo ya kiungo level yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa neves atatufaa sana,kuna yule mwingine wa Watford.

kosa kubwa kwa ole ni kutengeneza timu inayomuangalia mchezaji mmoja,viungo wote wanafanya kazi ya kumlinda Pogba,hili ni tatizo. Ndio maana nasema Madrid wakitoa pesa ndefu wambebe tu.
 
Tunaposema hivi tukumbuke pia timu zote hizo tulizozitaja zinacheza katika mfumo gani kwa sababu team zote hizo ulizoorpdhesha hazichezi kwa counter attack kama Man u

Sent using Jamii Forums mobile app
Counter-attack ndio the best system ya kuwatumia winger na fullback kushambulia our kocha must be flexible.Liverpool viungo wao wote ni butu kushambulia so Klopp ameamua kuwatumia fullback kushambulia.

Conte alichukua ubingwa Marcos Alonso na Victor Mosses walionekana walikuwa wachezaji wake muhimu sana
 
Ndiyo maana nikasema Man u hawamuoni Ruben Neves ?
Ila tuseme ukweli pale kati Pogba huwafanya wenzake wacheze kwa tahdhari muda wote maana maboko anayotoaga siyo ya kiungo level yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hao wenzake wanacheza pia chini ya kiwango recently,acheni kumpa lawama nyingi Pogba..Herrera amekua ovyo sana mechi tano zilizopita.,,Pia matic anaonyesha uchovu wa hali ya juu

Tbh Ningekuwa kocha wa United nisingewategemea tena Matic+Herrera kwa msimu unaokuja..wanatuoffer vitu vya kawaida sana kwenye kiungo
 
Watu wanaotaka tusajili Full Back wana hoja ya msingi

Ashley Young msimu ujao anafikisha miaka miaka 34 na kushinda kombe na full back wa miaka 34 ambaye alibadilishwa kutoka kuwa winger ni jambo gumu sana

Valencia, Darmian msimu ujao hatutakuwa nao tena pale United, hilo lipo wazi

Hii itatufanya kubaki na Shaw, Dalot na Young (ambaye umri si rafiki kwake/kwetu) kwa nafasi za full backs

Nikitazama Academy sioni full back wa ku take over kwani madogo tulionao umri bado hauwaruhusu kucheza katika level ya juu. Kuna dogo anaitwa Ethan Laird ((RB) na Brandon William (LB)

Nikichungulia waliopo loan, namuona TFM na Borthwick Jackson, are they good enough for tilltle surge? I don't think so. Pia yupo Tuanzebe ambaye anaweza cheza full back, lakini kwa asili ni CD.

Option nyingine ni kuchezesha wachezaji out of position. Bailly anaweza kucheza FB, Ice Man anaweza kucheza full back, pia Jones na Smalling wanaweza kucheza full back. Tukumbuke tunampango wa kununua CD, hivyo hawa jamaa wanaweza kupisha mgeni (hope it is Koulibally). Lakini je tunaweza kuchukua kombe kwa kuchezesha wachezaji out of position, SIDHANI.

Kwahiyo tunarudi pale pale kwamba ni kweli tunahitaji FB.

Lakini je tunahitaji full back kama tunavyohitaji Central Defender, Midfielder na Winger mpika mabao? HAPANA. Je Ed/Glazers wapo tayari kutoa mpunga wa kusajili wachezaji 4 (world class players)? SIDHANI. Nadhani, nasisitiza nadhani utatoka mpunga wa kusajili wachezaji 3.

Hivyo kama Ed atatoa mpunga wa wachechaji 3 (jambo ambalo nawaza ndio litatokea), tunapaswa kutazama options ya madogo wa academy ama waliopo loan ili kuwa na back up ya full backs next season. Lakini mpunga wa wachezaji 4 ukitolewa naona ni jambo la lazima kununua full back

Wan Bissaka au nani? Ni ukweli usiopingika kua dogo ni mzuri sana, lakini pia tuna dogo mwingine ambaye pia ni mzuri, anaitwa Dalot. Hivyo katika kununua beki ninaona ni vyema tukinunua more experienced full back, mfano Thomas Meunier wa PSG (shabiki kindaki ndaki wa United) au Sidibe wa Monaco. Hiyo ni mifano tu, tunaweza kupata mabeki wengine. Hawa mabeki wazoefu watamfanyia Dalot mentoring akiendelea kujifunza.

Huo ni mtazamo wangu masela msijenge chuki (Utani tu)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu nimesoma, wanasema Ed ameridhishwa na kazi ya Ole kwenye defence.

Wanafikiria kutonunua mchezaji wa defence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah hizo story zilikuwepo, lakini magazeti hususani yale uchwara yanaandika speculation nyingi sana ambazo hazipo hata karibu na ukweli

All in all wanaona Ole hataki kuonesha kwamba hawaamini mabeki wake lakini ukweli ni kwamba defence ni moja kati ya maeneo ambayo yanahitaji surgery kubwa pale United
Kuna sehemu nimesoma, wanasema Ed ameridhishwa na kazi ya Ole kwenye defence.

Wanafikiria kutonunua mchezaji wa defence.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester United ama Manugu FC
wako katika wakati mgumu kwa sasa :
Its either wapige Man City na waruhusu Liverpool Wabebe kikombe ama wajilegeze kwa Man City na wacheze na Chernobly FC Europa Next season.

Kipi bora Manugu Fans?
The Choice Is Yours bitch!
 
Liverpool ndiye mpinzani wa Man u katika mataji ya England. ManCity akichukua kikombe si mbaya kwakua kwa vikombe Man Utd wakombali sana ukilinganisha na City.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seem like serious..anyway,herrera sio world class player kwahiyo kumreplace haitakuwa ngumu..tutamiss Passion aliyokuwa nayo ya upambanaji nothing else
Naona jioni hii majarida mbalimbali yanadai Herrera amesaini pre contract agreement na PSG

Kama taarifa ni za kweli, tunahitaji kusaini watu 5, sio 4 tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom