Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hatujakataa kuwa pogba ni fundi lahasha bali tunajaribu kuangalia makosa yake uwanjani na commitment yake kwa team.
Kitu nilichogundua hapa ni kwamba watu wanamchukia Pogba sababu anatamani siku acheze Madrid na kwamba amekosa heshima kuropoka kwenye media,alichokifanya Pogba sio sahihi na kawakera mashabiki wengi wa UTD hyo ni kweli lakin msianze kuongea upuuzi kuhusu kiwango chake, mtu ni KEY PLAYER kwenye timu iliyoshinda World cup na alipiga bao Finali lazima ukubali uwezo wake umpende usimpende hata wapinzani wa UTD wanajua Pogba ni fundi sasa inashangaza sana kuona mashabiki wa UTD wakiongea otherwise! hebu nitajieni viungo n.o 8 watano pale PL wanaomzidi uwezo Pogba kama kweli mnaamini ni mchezaji wa kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa ya Ashley Young ni ya kawaida kiuchezaji ya pogba angalia mengi husababisha tufungwe worse enough team inacheza kwa kumtegemea kama key man kwahiyo mistake Moja tu inaharibu kila Kitu.

Unakumbuka kosa la Gerald dhidi ya Demba Ba ? Makosa ya pogba uwanjani ni type hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhy wewe ungekuwa coach ungesuggest pogba auzwe kwa sababu ya "so called makosa",

Hivi huoni mchango wa pogba kwenye timu.
Kwa sasa kwenye top 5 league in europe ,pogba ni moja kati ya viungo wawili wenye rekodi nzuri ya magoli.

Ndani ya timu yetu anaongoza kwa assists. Creativity yote ya timu inamtegemea pogba.

Duuh halafu unadai auzwe, sababu ya vikosa vidogo vidogo. Hivi akiuzwa unam replace na nani?

Sent using simu mbovu
 
“You know our squad, it's very good, It'll need adjustments but not a revolution. I'm sure there will be some exciting new players coming."
Ferran Soriano manchester city CEO.

Hii habari ni muhimu zaidi kiupande wetu kuliko mjadala wa paul pogba.
Tatizo sisi bado hatujaamua nani kocha wetu wa kudumu.

Sent using simu mbovu
 
Pogba ametuchoma mechi ngapi mkuu na ni zipi exactly ambazo yeye tu ndo alifanya makosa huku wachezaji wengine wakicheza vizuri??
Makosa ya Ashley Young ni ya kawaida kiuchezaji ya pogba angalia mengi husababisha tufungwe worse enough team inacheza kwa kumtegemea kama key man kwahiyo mistake Moja tu inaharibu kila Kitu.

Unakumbuka kosa la Gerald dhidi ya Demba Ba ? Makosa ya pogba uwanjani ni type hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhy wewe ungekuwa coach ungesuggest pogba auzwe kwa sababu ya "so called makosa",

Hivi huoni mchango wa pogba kwenye timu.
Kwa sasa kwenye top 5 league in europe ,pogba ni moja kati ya viungo wawili wenye rekodi nzuri ya magoli.

Ndani ya timu yetu anaongoza kwa assists. Creativity yote ya timu inamtegemea pogba.

Duuh halafu unadai auzwe, sababu ya vikosa vidogo vidogo. Hivi akiuzwa unam replace na nani?

Sent using simu mbovu
Ningetafuta kiungo bora, then wataccheza wote, baadae pazm abadilike
 
Hakika ndiyo maana watu wanadhani pogba hana replacement mbona Beckham aliondoka na team iliendelea kubounce vizuri tu ?
Kitu nilichoona humu kuna mashabiki ambao wao wakiangalia tu matokeo ya Live Score Man ameshinda wanaridhika

NA

Kundi la pili ni wale wanaopenda kila kitu kuhusu Manchester United, History, Pride, soccer side off the pitch, soccer side on the pitch. Hili kundi hata timu ya Academy au Wanawake ya Manchester wakicheza linataka ushindi.

Kwa hiyo hapa ni ngumu sana kuja kuelewana kwenye topic ya Pogba

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyone with two legs, that will be ready to fight for the badge.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nataka uniunge kwenye timu yako ya mashambulizi kwa ole gunnar solskjaer, naahidi nitakuwa mpiga kampeni mzuri sana.
bila ya kutishwa na wenye dola humu ndani nahitaji niunge mkono juhudi zako.
ni muda muafaka wa kushusha tanga na kupandisha turubali.
naomba unipokee.
 
Ningetafuta kiungo bora, then wataccheza wote, baadae pazm abadilike
Hakika ndiyo maana watu wanadhani pogba hana replacement mbona Beckham aliondoka na team iliendelea kubounce vizuri tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo lenu hamutaji mfano wa mchezaji atakayeziba pengo la paul pogba, ok unataka kumuondoa paul nafasi yake itazibwa na mchezaji yupi?

nyakati za beckham nafasi yake alitakiwa ronaldinho na alipokosekana aliletwa ronaldo, miaka mitatu baadae jamaa akaanza kutupa faida.
alipoondoka tuliletewa antonio valencia, je valencia aliziba pengo la ronaldo?
sidhani kama valencia amefikisha angalau nusu ya magoli aliyofunga ronaldo msimu wa 2007/ 2008.

si ndio yale ya real madrid wamemuondoa mwanadamu mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 kwa msimu wanamleta mwanadamu asiyekuwa na uwezo wa kufunga angalau magoli 10 kwa msimu.
 
Sport News |||

"Kocha aliye fuata baada yangu (Mourinho) alibadilisha mbinu akawa anapaki basi na kushambulia kwa counter na sahizi yupo mwingine (Solskjaer) nae anapaki basi na kushambulia kwa counter" "Tofauti iliyopo kati ya Mourinho na Solskjaer ni kwamba Solskjaer ana shinda"

Louis Van Gaal kocha wa zamani wa Manchester United kuhusu Mourinho na Solskjaer.

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
LvG=scumbag
 
Barca wameshamsajili Frenkie De Jong na wanapigana kumpata De Ligt,Bayern wameshamsajili Pavard na wako hatua za mwisho kumsajili Lucas Hernandez na Timo Werner
Real Madrid wameshamsajili Eder Militao na wanapigana kusajili wachezaji karibia 3 Manchester United klabu inayogenerate faida kubwa bado iko usingizini key players (Pogba,De Gea,Herrera ) wanahusishwa kuondoka while hakuna dalili za Darmian,Jones,Rojo kuondoka pia ni karibia mwaka wa 6 Manchester United haina right winger,tumejaribu kuwachezesha Valencia,Young na sasa Dalot ambaye alisajiliwa kama RB ndio winger wa kulia
Update :Bayern complete signing of Lucas Hernandez from Altelico Madrid
 
Kinachoniuzi kuhusu huyu dogo anapenda kuwa centre of attention

Halafu kwa sasa tunaridhishwa naye na kumfurahia sababu anafanya vizuri na yupo kwenye mood, siku akizingua halafu OGS ampe ukweli ..... Kirusi kitakuwa active tena

Halafu sasa agent wake (Raiola) naye ni janga, sasa ukichanganya hizo personality 2 ni balaa kabisa

By the way kuna timu ngapi ambazo hazina Pogba lakini wapo vizuri kiuchezaji kuliko United

Tusikurupuke kumwaga, ila in the long term inabidi tuone namna ya kutemana naye na kutafuta mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app

Shida ni kwamba watu ambao wako kwenye level yake ni wachache na hao wachache bei utakayoambiwa na mshahara atakaotaka mtakuja tena humu jukwaani kulalamika akizingua, kama kilichotokea kwa Sanchez
 
Hakika ndiyo maana watu wanadhani pogba hana replacement mbona Beckham aliondoka na team iliendelea kubounce vizuri tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Option za kum replace Pogba zipo nyingi (like to like replacement)

Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)

Ndombele (Lyon)

Christian Ericksen (Spurs)

Wengine tunawaachia Scout Network ya United ambayo inatajwa kuwa ni Network kubwa kuliko zote ukimwenguni wanaweza kupata mbadala (Unless mniambie siku Pogba akiondoka United ndio itakufa)

Lakini pia Pogba anaweza kuwa replaced kwa kubadili mfumo (sio like to like replacement)

Badala ya 4-3-3 ikawa 4-4-2 na wachezaji wanaoweza wenye uwezo mkubwa duniani wapo wengi tu

Mfano kwenye 4 ya nyuma (unaongeza Koulibaly au De Legt)

Kwenye 4 ya kati unaweka Matic/Herrera, Bruno Fernandez/Ericksen/Ndombele/Nerves (Wolves) n.k., Sancho, Martial

Kwenye 2 ya mbele unaweka Lukaku na Rashford/Lingard/Mata/Usajili mpya wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo lenu hamutaji mfano wa mchezaji atakayeziba pengo la paul pogba, ok unataka kumuondoa paul nafasi yake itazibwa na mchezaji yupi?

nyakati za beckham nafasi yake alitakiwa ronaldinho na alipokosekana aliletwa ronaldo, miaka mitatu baadae jamaa akaanza kutupa faida.
alipoondoka tuliletewa antonio valencia, je valencia aliziba pengo la ronaldo?
sidhani kama valencia amefikisha angalau nusu ya magoli aliyofunga ronaldo msimu wa 2007/ 2008.

si ndio yale ya real madrid wamemuondoa mwanadamu mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 kwa msimu wanamleta mwanadamu asiyekuwa na uwezo wa kufunga angalau magoli 10 kwa msimu.
Pogba anaweza kuwa replaced na Christian Eriksen na team isiyumbe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom