Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,225
- 44,217
You cant be serious kuquote maneno ya press conference mchezaji akisajiliwa, hiyo ni kama hotuba tu inakuwa imeandaliwa na mtu anaongea. Wanafunguka makocha wakiwa hawana mikataba wala sheria inayowabana kama alivyofunguka lvg.Shida ni kwamba mnafatisha kila source inachosema kuhusu UTD,timu kubwa kama UTD lazima iongelewe sana na sio kila kitu kinachongelewa kina ukweli, kuna magazeti mengine wanaongea Rumors tu ili wauze.tafuta reliable source ndo uamini
kinachosemwa, vitu vingine unajiongeza hata ww mwenyewe,ni Kocha gani hapa duniani asiependa top players labda?
Hata Guadiola anatamani City wawe na Messi sema ndo haiwezakani,Woodward hajui mpira lakin sio mjinga kwenye maswala ya pesa atanunuaje wachezaji zaidi ya watano wakubwa wanaocheza nafasi mmoja??.. kuondoka Di maria hakuhusiani na usajili wake bali nikutokana na kushindwa kusettle pale Manchester baada ya nyumba yake kuvamiwa na majambazi (familia yake ikiwa ndani) na kushindwa kuadopt physical nature ya PL.
LVG alisema hivi tulivyo msajili Falcao "When a player of this calibre becomes available, it is an opportunity not to be missed."
Na akasema hivi tulivyo msajili Dimaria: "A world-class midfielder he is a team player there is no doubting his immense natural talent he is a tremendously fast and incisive left-footed player who puts fear into the most accomplished defence. His dribbling skills and his ability to take on and beat opponents are a joy to watch. He is an excellent addition to the team."
Kama alisema haya maneno maana yake alipenda huo usajili sasa sielewi tunachobishana hapa ni nn, unasema hawanunui wachezaji walinunuliwa hao na kocha akawafurahia na bado wakazingua sasa kosa la Glazers hapo ni nini?
Hii makala pia inasema hivi: Van Gaal has also signed defenders Luke Shaw and Marcos Rojo, midfielder Ander Herrera, and forward Angel Di Maria since he was appointed David Moyes's successor in the summer.
hapo bado Hatujamuongelea Depay na Blind (waholanzi wenzake aliowafundisha Uholanzi World Cup), Darmian ,Bastian (ambae walikuwa nae Bayern) Romero (walikuwa nae AZ alkmaar) Valdes (walikuwa nae Barca) Alafu unamsingizia Woodward ndo aliwataka??
Je Damian,Rojo,Herrera,Depay,Matial,Blind,Luke Shaw,Romero,Schneiderlin Ni magalactico hao??
Source ya hizi makala ni BBC SPORTS : Hii ya Falcao na Hii ya Di maria.
You cant be serious kuquote maneno ya press conference mchezaji akisajiliwa, hiyo ni kama hotuba tu inakuwa imeandaliwa na mtu anaongea. Wanafunguka makocha wakiwa hawana mikataba wala sheria inayowabana kama alivyofunguka lvg.
So tukatae na maneno yake mwenyewe lvg ni ya uongo? Au hakuongea yeye ni groundless rumors za magazeti?
Na huyo niliekupa source ni mwandishi wa habari wa united we stand. Ambalo ni jarida la mashabiki wa man U na ameongea na Agent, na hili suala la agents si jambo ambalo halijulikani.
Nikuulize wewe mtetezi wa woodward ni kocha gani alikutana na mino raiola na kutujazia wachezaji wake man united?
Romero, pogba, ibra, mikhi, lukaku etc wote hawa wameletwa na mtu mmoja is it a coincidence? Kwamba makocha wetu wanampenda tu agent mmoja?
Huna hata aibu kidogo?Messi siyo mpiga free kick mzuri kama Ronaldo huwa anafunga ila kwa kubahataisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nnakubaliana na wewe kuwa Glazer Ni wafanyabiashara/wawekezaji/investors na Woodward Ni mkurugenzi/CEO pale Utd na kwamba wote wanapenda hela, lakini hebu tuangalie vyanzo vya mapato katika klabu hususani za uingereza (man u), kivyovyote vile Mafanikio uwanjani/pitch performance ndio kila kitu kwenye mapato, kwasababu Mafanikio uwanjani yanaleta vikombe na kuongeza Mashibiki/Trophies & widen fan base, ambayo pia hujangia kukuwa kwa jina la timu na taswira imara/Team or Club Brand & Image, hii inasadia kuvutia MIKATABA minono kutoka kwa makampuni/Business dealsTatizo nyie mnaona mambo juu juu, pep did nothing at Man city,kuna mtu man city walim recruit toka barcelona amefanya kazi yote kuibadili timu ya man city, kujenga academies na mifumo mingine.
Pep amekuja pale sababu ya huyo jamaa, baada ya kuona amesharahisishiwa kila kitu, nipo njiani siwezi kutype sana unaweza ukagoogle zaidi, ila ukiangalia backbone ya man city, Aguero, silva, de bruyne, Fernandinho etc wote kawakuta tayari ameandaliwa.
Na hivyo ndio football club inavyotakiwa kuwa
Huna hata aibu kidogo?
Wewe ni fara sana, yani mtu anabahatisha fk 6 kwa mfululizo..!
Basi hiyo ni zaidi ya kubahatisha itakua ni uchawi
Sent using Unknown device
Mkuu mtu ana goli karibia 40 za freekick utasemaje anabahatisha? Ronaldo anabao nyingi zaidi za freekick kuliko Messi lakini huwezi sema anabahatisha.
Nimekwambia ulete stats zao za magoli ya free kick hata ya msimu huu tu
Shida ni kwamba mnafatisha kila source inachosema kuhusu UTD,timu kubwa kama UTD lazima iongelewe sana na sio kila kitu kinachongelewa kina ukweli, kuna magazeti mengine wanaongea Rumors tu ili wauze.tafuta reliable source ndo uamini
kinachosemwa, vitu vingine unajiongeza hata ww mwenyewe,ni Kocha gani hapa duniani asiependa top players labda?
Hata Guadiola anatamani City wawe na Messi sema ndo haiwezakani,Woodward hajui mpira lakin sio mjinga kwenye maswala ya pesa atanunuaje wachezaji zaidi ya watano wakubwa wanaocheza nafasi mmoja??.. kuondoka Di maria hakuhusiani na usajili wake bali nikutokana na kushindwa kusettle pale Manchester baada ya nyumba yake kuvamiwa na majambazi (familia yake ikiwa ndani) na kushindwa kuadopt physical nature ya PL.
LVG alisema hivi tulivyo msajili Falcao "When a player of this calibre becomes available, it is an opportunity not to be missed."
Na akasema hivi tulivyo msajili Dimaria: "A world-class midfielder he is a team player there is no doubting his immense natural talent he is a tremendously fast and incisive left-footed player who puts fear into the most accomplished defence. His dribbling skills and his ability to take on and beat opponents are a joy to watch. He is an excellent addition to the team."
Kama alisema haya maneno maana yake alipenda huo usajili sasa sielewi tunachobishana hapa ni nn, unasema hawanunui wachezaji walinunuliwa hao na kocha akawafurahia na bado wakazingua sasa kosa la Glazers hapo ni nini?
Hii makala pia inasema hivi: Van Gaal has also signed defenders Luke Shaw and Marcos Rojo, midfielder Ander Herrera, and forward Angel Di Maria since he was appointed David Moyes's successor in the summer.
Hapo bado hatujamuongelea Depay na Blind (waholanzi wenzake aliowafundisha Uholanzi World Cup), Darmian ,Bastian (ambae walikuwa nae Bayern) Romero (walikuwa nae AZ alkmaar) Valdes (walikuwa nae Barca) Alafu unamsingizia Woodward ndo aliwataka??
Je Damian,Rojo,Herrera,Depay,Matial,Blind,Luke Shaw,Romero,Schneiderlin ni magalactico hao??
Source ya hizi makala ni BBC SPORTS : Hii ya Falcao na Hii ya Di maria.
Juventus naye jana kwa mara ya kwanza kakalishwa viwili na Genoa katika seria A. Ama kweli kwa trend hii ya matokeo, fainali ya UCL itakuwa kati ya Juventus na Manchester United.
Tuheshimiane hunijui sikujui kuna mambo mengi sana ya kufanya tofauti na huu upuuzi unaofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Si umejiona ee jinsi ulivyo boya! Safi kama umeweza kujistukia.
Kila la kheri
Sent using Unknown device
Ed anafanya footballing decisions wakati hajui hata sheria ya offside (hajui mambo ya mpira)Hapo ulipo bold si kweli, Woodward ameleta mara kibao wachezaji ambao kocha hajawataka au kumnyima kocha wachezaji anaowataka
Lvg alisema haya maneno
“I asked many, many times for players of the highest quality. But I didn’t get the players I wanted.
“I’m disappointed in certain human beings at United — and they know I’m disappointed.
“I am an emotional guy, I say too much in interviews. I am always authentic. You see what you see with me.”
Hapo LVG alikuwa akimsema Woodward.
Anacheza na timu ipi je ni ubora kama Man UtdMessi kapiga 3...Mungu atusaidie tu siku ya game yetu huyu jamaa asiwe vzr hivi maana hili goli wa 3 balaa