Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FA kwetu sio muhimu kulinganisha na vita ya top four. All in all mapambano yanaendelea
Eboooo umebadili gear angani[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji375][emoji375]
 
Huu mfumo anaoutaka ole ushafeli maana nimeuona toka mechi ya arsenal na leo kaurundia tena

simu ya [emoji992]
 
Rashford ana ndoto za kumfikia ronaldo.. lakin kama ni kwa upuuzi huo anaoonyesha... ataishia kuwa kama luis nani.
Mchoyo wa pasi.. anataka kujionyesha kuwa anaweza kufanya kila kitu.. hovyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya wachezaji wanafanya mpira uonekane Mgumu sana Wakati si kweli sehemu ya kutoa pasi yeye anipiga ana safari ndefu sana
 
Martial hana juhudi zozote za kuisaidia timu. Anaweza kuwa na kipaji ila juhudi hana. Sio mchezaji wa kutegemea.

Hata bench simuoni kama anafaa kukaa. Ila ajabu ndio mchezaji anayependwa sana na mashabiki pengine na timu yenyewe.
 
Martial ana kipaji ndio ila ni lazy... mvivu kulik unavyodhani. Anajivuta sana.
Na hili ndio lilofanya mou amuweke nje ... tatizo la ole anaonekana ni mpole. Wachezaji kama akina martial na rashford wanamzoea ndio maana wanacheza utumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadhani Ole abadili njia ya kumfanya Pogba kama Centre ya Kuamsha mashambulizi, timu zingine zimeshtukia....

Toka Game ya Arsenal Pogba anakabwa sana hasipige zile Dangerous Long Balls

Sent using Jamii Forums mobile app
Combination ya Pogba na Rashford ilikufa kwenye game ya Kwanza ambayo United alifungwa na PSG

OGS anachemsha kupanga wachezaji waliotoka majeruhi ( Herrera,Lingard,Matic) na anawaacha wachezaji waliocheza karibuni na kucheza vizuri Sana (Perreira,Fred, Mctominay)
Aa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mimi ningekuwa yeye Tangia game na Asno nawapanga wale watoto waliocheza game ya psg Hawa wametoka injury bado hawaja ji update
 
Kabisa Luis nani alikuwa anaujua mpira kuliko Tony
Hii timu ina utoto mwingi mkuu, nadhani Nani alikuwa anacheza na wenye MUFC yao ndio maana alikuwa anapambana.

Tatizo lingine ni pale watakapompa Pogba unahodha, ndio wataharibu kila kitu maana hata Pogba ana utoto anatakiwa apate wa kumkemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…