Ndio si ile ya kujiangusha magazeti. Ulidhani ipi? Kungekuwa na VAR ingekuwaje pale.Duh Yamekuwa hayo tena,
Umesahau mkombola wa xhaka boom?
Unasema ile penat ya uongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Et kajiangusha, hakusukumwa? Hebu acha unazi bhana,Ndio si ile ya kujiangusha magazeti. Ulidhani ipi? Kungekuwa na VAR ingekuwaje pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan dk za mwanzo mlikuwa wapi kushinda...??Dah shit, tungeongezewa dakika nyingine mbili hapa tungeshinda. Hawa marefa waduanzi sana [emoji36][emoji36][emoji36]
Kweli kabisa mkuu, kosa alilofanya dhidi ya Arsenal kumuacha dogo Scott karudia tena vle vle tokea dk ya 60 timu ilizidiwa kabisa na umuhimu kufanya Subs ulionekana yeye kakumbuka shuka kumekuchaBora Ole awe anaweka wale watoto waliocheza na psg hawa wakubwa mapoyoyo wengi sana
Goli la kwanza wachezaji watatu wanapigwa chenga na one player ambaye ni wa kawaida hii haikubaliki kabisa
Ahaa hii kauli ilikuwa maarufu kipindi cha MouKabisa mkuu yaaani wachezaji kama wameokotwa na kuletwa uwanjani kuanzia pogba, lingard, Rashford wote ovyo kabisa
Sawa mkuu... Mdogo mdogo najiona narudi nilikotokea.Mimi ninawaombea mmfunge Barca ili nipate route rahisi kwenda Final.
Naona hizo kauli zimeanza kurudi ,kwa kasiAhaa hii kauli ilikuwa maarufu kipindi cha Mou
Sent using simu mbovu
Game ya aseno alisema hivyo hivyo kuwa wachezaji walikuwa hovyo. Sijui inakuwajeMichezaji yetu leo kama imekunywa balimi