Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Sio vizuri hii.Mungu yu nasi.. Siku tatu kabla ya game na messi harmstring inamrudia tenaView attachment 1046710
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kutokea kwetu pia.
Sio vizuri hii.Mungu yu nasi.. Siku tatu kabla ya game na messi harmstring inamrudia tenaView attachment 1046710
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vizuri hii.
Inaweza kutokea kwetu pia.
Umezaliwa lini?Manchester hacheni kuota. Hamjawahi isumbua barca ya messi hata siku moja toka akiwa dogo amewaburuza. Jipeni moyo ila safari imefika. Angalau liver draw kwao imekuwa kind.
Hapo nimekuelewa
Dogo bado sana na inaonekana naye ataishia kama Smalling.Shida Rashaford kuna mazingira anakuwa mchoyo had anaboa
Wolves wataku disappoint Mkuu,Aha kumbe gemu yenu imeahirishwa sikujua ilo ..hata hivyo leo Wolves hawatotuangusha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Beki wa kumkaba Messi amepatikanaView attachment 1046764
Huwezi jua mkuu unaweza shangaa siku hiyo kocha akamwamini akampangaHuyu hata namba kikosi hiki cha ole hana. Pale nyuma yuko lindelof ambae ameonyesha utuliv mkubwa sana. Amemkata jones number
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi jua mkuu unaweza shangaa siku hiyo kocha akamwamini akampanga
Ilikuwa 2007/2008. Na ilikuwa semi fainal, goli la Scholes pale OT. Nou Camp Ronaldo alikosa penalt.Jamaa kama anakumbukumbu nzuri.. Tuliwapiga 1-0 tukaenda kuchukua ndoo kwa Chelsea kama sijakosea nazani ni 2008-2009
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasema bado kibonde ni nani au ndo hao? Kina monaco, Basel, Schalke 04 ?Shida ndo hyo unakosa umakini mi nimeongelea Draw sijasema hatua gani kuna round of 16 nayo inafanyika draw labda kama ulikuwa hujui,2015-16 City alipangiwa Dynamo Kiyv,2016-17 City alipangiwa Monaco,2017-18 City alipangiwa Basel,2018-2019 City alipangiwa Schalke 04 Sasa mpka hapo jiongeze we mwenyewe ukishindwa basi!
Na Psg walikuja wakiwa wamejiandaa kwa lipi?? Na nini kiliwakuta??? Sisi hatuelewi, ila wewe na dimaria mnaelewa!!Man U mshajipanga kisaikolojia tayar kitu chochote kitakachotokea sawa....Mwaka huu wenu aisee maana Hata kwa PSG mlienda mkiwa mpo tayari kwa lolote litakalotokea
Tatizo Messi...*Et wanasoka wenzangu*
Hiv pique anaweza riadha na rash ford?
Ter stegen atadaka chambua za martial?
Kale ka jordi alba kanaweza fukuzana na lingard?
Arthur melo amsumbue pogba,Kweli jaman?...
Alishndwa mbape ataweza Suarez kweli kwa lindelof?
Coutinho anataka kuja man u ,amfunge de gea si atakua anataka kurud brazil huyo?
Mfupa ulomshnda ronaldo makundi atauweza messi kweli?
Balaa la matic, bosquet kibabu analijua kweli?
Shaw on fire,kuna mbugira atapita kweli pale?...
Form ya ole ,yule kocha wa barca ataingia hata kdogo jaman!
*Et wana man u wenzangu ,uefa kwa nn wametupa tmu dhaifu HVO?*
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndo ushujaa mkuu,Hata kama unajua mechi Fulani huwezi kushinda unajitapa kuwa unashinda ndo football hiyoNa Psg walikuja wakiwa wamejiandaa kwa lipi?? Na nini kiliwakuta??? Sisi hatuelewi, ila wewe na dimaria mnaelewa!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasema bado kibonde ni nani au ndo hao? Kina monaco, Basel, Schalke 04 ?