Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duuh aisee kweli kuna watu wapo deep humu nimefurahi sana kusoma hoja zako humu mkuu sababu mawazo yako yanendana

sana na ninachofikiria mimi...kwa ufupi tunachokosa kikubwa kwenye hii club ni "Director of Football" kwenye modern football

sahiv hyu mtu lazima uwe nae mfano City yupo,Juve Yupo,Barca Yupo,Atletico yupo etc Club kubwa karibia zote,hyu mtu kazi

yake ni kuangalia Coach anataka acheze vipi na wachezaji watakaofaa kwenye huo mfumo ni wapi na kwenda sokoni kuwa

nunua,ukiangalia tunavyofanya usajili sisi nikama hatujui tunahitaji nini na ndo maana mwisho wa siku tunaishia kununua

wachezaji wengine level za chini mfano wakina Darmian na kuendelea kuwaongeza mikataba wakina Jones,wachezaji wa

maana kama kina De jong wanaishia kwenda Barca,Ed woodward ni Banker mwanauchumi sio DoF hana uelewa wa ndani wa

mpira hvyo hana uwezo wowote wa kumpinga Coach na haelewi club inahitaji nn,mfano Moyes alivyoomba Fellaini anunuliwe na

yye akaenda kumnunua tena kwa bei mbaya,hzi timu kama Juve na City wamefanikiwa kufanya usajili mzuri ndani na kipindi

kifupi sababu ya DoF hvyo naona nasisi inabidi tufanye michakato aje mtu wa maana pale kama Dof na nimeshasikia Club

inamtafuta mtu atakae fit hyo nafasi vizuri.
Hili tatizo sijui litatatuliwa lini.

Man Utd kutokuwa na Dof ni aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani una fixture ngumu ..Man city uyo apo, una Wolves FA, Bacra uyoo ..sisi tunakuja ..una hatari ..Europa itakuhusu msimu ujao..

Pole sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Man City sio wa leo wala kesho, mechi yake ilipaswa tucheze leo imeahirishwa, leo tupo FA na Wolves

Hata tungekuwa na Man City, siwezi kuumiza kichwa maana wale ni watoto kwa United. Tatizo wewe unawaogopa sana kwa sababu ya zile 6

Kipindi nilichokuwa na fixture ngumu sana tena zilizo karibu karibu ni February kuja March, kwasa ngumu zimebaki chache halafu kuna gape la kujipanga

Aha kumbe gemu yenu imeahirishwa sikujua ilo ..hata hivyo leo Wolves hawatotuangusha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu yu nasi.. Siku tatu kabla ya game na messi harmstring inamrudia tena
IMG_20190316_095519.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom