Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahyo wew saiv unatusaida kutuhabarisha? Mbn futuhi la Arsenal na Chelsea hutujulish? Huu uzi ni wa Uefa. Naomba uheshimu
 
Mim nilishasema namtaka yoyote yule nipangwe nae na nitaruka nae dk zote 90 mamaeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu mkuu,,na OGS mapema tu baada ya kumtoa PSG alisema,United inaenda Nusu fainali bila wasiwasi,na mm naamini tunaenda nusu fainali
 
Sawa sawa,
 
Ningeumia kupangwa na Liverpool au Man city after all barca haiko vizuri sana msimu huu,

Dembele kaumia na atakuwa nje kwa two months ambaye angepoze threat kubwa sana kwenye right wing yetu kwa Dalot au Young
Vidal hayuko form sana,
Beki line ya Barcelona haina nguvu sana hivyo Lukaku anaweza kuwanyanyasa vizuri tu kina pique

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo zuri kuishi kwa matumaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We didn’t want the ball because when Barcelona press and win the ball back, we lose our position – I never want to lose position on the pitch so I didn’t want us to have the ball, we gave it away, I told my players that we could let the ball help us win and that we had to be compact, closing spaces.” (jose mourinho).

maneno haya aliyazungumza jose mourinho baada ya kumalizika kwa mechi ya pili ya nusu final kati ya inter milan na barcelona mwaka 2010 pale nou camp.
  • tunacheza na timu ambayo ni bora linapokuja suala la umiliki wa mpira kuliko juventus na PSG
  • tunacheza na timu ambayo ni bora linapokuja suala la pressing (tension unayompa mpinzani wako pindi unapopoteza mpira) kuliko liverpool na manchester city.
  • tunacheza na timu ambayo ni mabingwa wa kuwapa timu pinzani pressure hali inayopelekea wapinzani kupoteza muelekeo wanapokuwa na mpira na wasijue cha kufanya.
wakuu tunatokaje hapa?​
kuna uwezekano na sisi tutamuiga kocha wetu wa zamani na mbinu zake za kuwaruhusu barcelona wawe na mpira kila wakati huku tukiwazuia wasifike kwenye eneo letu la hatari?

kufanya hivyo je tuna ukuta kama wa inter milan ya mwaka 2010?

upande wa kushoto wa barcelona ndio chachu yao kubwa ya mafanikio kwa sababu ya ushirikiano wa jordi alba na lionel messi, ukija kwetu sisi upande wetu wa kulia hatupo vizuri hususani kwenye kushambulia na hata kulinda kwa nidhamu, hivyo basi adui yoyote tutakayekutana naye atautumia udhaifu huu tulionao kabla hata ya mechi kuanza, tunajiandaaje kwa ajili ya kuwazuia wendawazimu watatu (alba + messi + dembele/ coutinho) na wakati huo huo tunawapa pressure upande wa kushoto ili alba apunguze kiherehere cha kushambulia mara kwa mara?

ernesto valverde naye pia ni mwendawazimu linapokuja suala la kujilinda na kama kilichotukuta mechi ya PSG walipomzuia paul pogba upande wa kushoto pia na barcelona wanao uwezo huo wa kumzuia labile, je tuna plan nyengine kama barcelona na wao wataamua kuja na style ya man marking kwa paul pogba, tukumbuke psg walipomzuia pogba tulipiga shuti moja kwa dakika 90.
mwezi huu mmoja uliobaki kama ningelikuwa nipo karibu na OGS ningelimshauri amuondoe nemanja matic na nafasi yake ichukuliwe na herrera huku nafsi ya pogba acheze fred kama ilivyokuwa mechi ya pili ya PSG.
HERRERA + MATIC + FRED​
 
*AJAX vs JUVENTUS*

Ajax eliminated Real Madrid, Juventus eliminated Athletico Madrid. Both teams eliminated are from Spain.

*TOTTENHAM HOTSPURS vs MANCHESTER CITY*

Tottenham eliminated Borussia Dortmund, Manchester City eliminated Schalke 04. Both teams eliminated are from Germany.

*BARCELONA vs MANCHESTER UNITED*

Barcelona eliminated Olympique Lyonnaise, Manchester United eliminated Paris Saint Germaine. Both teams eliminated are from France.

*Coincidence? Or fixed?
*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…