Mkuu hawa Arsenane wanajifanya hawaelewi lakini wameelewa
Kwenye mpira kuna bahati pia, japo uwezo wa timu ndio una nafasi kubwa zaidi
Goli la Xhaka, ni goli la upepo (mpira ulibadilishwa direction na upepo)
Goli la Auba, ni goli la refa (poor referring decision)
United wamekosa karibu clear chances 5 kwenye ile game
Lakini mwisho wa siku United tunakubali kwamba tulifungwa, regardless of the reasons
Kitu ninachufurahia mimi ni kwamba Arsenane ndio wapo mbele yetu (kwenye top 4 race). Timu ambayo ni inconsistence kuliko timu yoyote Uingereza. Mechi chache zijazo atarudi nafasi zake na akina Everton huko.
Juzi nimecheka. Nimeona Mashabiki wa Arsenane pamoja na wale wanaokaa jukwaa maalum la mashoga wa Arsenal eti wanaimba Unai at the wheel ..... Nikajiuliza, What the f**ck couldn't they find their own song for their own coach (PSG reject)
Sent using
Jamii Forums mobile app