Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mou kiburi sana. Mbona nyie chelse mmeshamfukuza mara kibao..?
Eti tumrudishe.. haha. Huyu ambae alikuwa anaipeleka timu shimon.. timu ilishakuwa chawote.. watu wanakuja kujichukulia point tu..
Aende zake.. man inahitaji kocha anae ujua mfumo wa united.. sio kocha kibur na majigambo
Mou kwa sasa mkimpa timu atakuwa amejirekebisha ..uyo Ole ni wale wale tu kama Pochettino..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mou anajirekebishaga.? Mara ngapi amekuja chelsea na ametimuliwa?.
Tabia ni kama ngoz haibadiliki. Ile ndio personality yake take it or leave it..
Bora akina ole sijui na pochettino ambao wanaelewana na wachezaji kuliko huyu jini kisirani muharibifu wa mambo
Mou kwa sasa mkimpa timu atakuwa amejirekebisha ..uyo Ole ni wale wale tu kama Pochettino..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tactic ya Arsenal/Unai akiongoza anaacha timu pinzani icheze cheze lakini anakuwa ameshapata ushindi ni nzuri sana na Arsenane wanaiweza sana

Nakumbuka hata mechi ya Arsenal na Liverpool, ya Spurs na ile ya Rennes hii mbinu ilifanya kazi kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uchambuzi wako ulikuwa unachambua soka au ulikuwa unachambua Mchele wa kujipikilishsha
 
Uyo Ole sioni Kama atawapa mnachotaka.. Mourihno kwa mf hiv mlivo UEFA angeweza kubeba...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu kocha mwenye rekodi nzuri kwa sasa Uingereza ni UNAI tutamchukua huyo. Au tukishindwa tutamchukua Wenger aliyefundisha arsenane miaka 21 ma anazidiwa idadi ya makombe na Mourinho aliyefundisha miaka minne Chelsea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio ya full time kama unayo wewe tofauti na hii niwekee.

IMG_8170.JPG


Yaan huoni hata aibu? Mechi ilishapita watu mpka leo mnaendelea kuiongelea utafikiri mlipiga mpira mwingi Arsenali bwana
 
Ili tufunzu top four tunakiwa tumfunge chelsea,coz yeye anakiporo pia tushinde match yetu na city spurs anawakati mugum ataenda etihadi kwa city pia anfield kwa liverpool so anaweza kutoka top four,tusiposhinda match hizo mbili especial ya city ni ngum sana match ya chelsea naona ni winable kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jidanganyeni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom