Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona ubingwa unakimbia hapa
Screenshot_20190313-002404.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamjakatazwa kushangilia ushindi ila ongea ukweli ndo nachosema mm hapa kama huelewi hyo ni shida yako,hakuna mshabiki wa UTD aliyesema kwamba tumewazidi mpira PSG au tulitawala zaidi mpira, hilo jambo lilikuwa wazi, pia hakuna mtu alietegemea tutashinda na tukashinda na watoto...nyie wenyew hamkutegemea mtatoka na ushindi, ss mnaanza kelele za kwamba mlituzidi kwenye kutawala mpira kitu ambcho sio fact.
Wewe katikati pogba ,matic walifanya nini zaid ya kuzurula tu

Nilipenda mtangazaji anakwambia

Ohhoooo boom xhakalaca.....

Ubalizungumziaje Goli la xhakazullu
IMG-20190311-WA0030.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan nani anashangaa minilikuwa nampinga hyo ndugu yenu aliekuwa anasema mmetawala sana mpira kutuzidi sisi,ushindi ni kweli mmeshinda hyo hatukatai na ni haki yenu kufurahi, maana huwa tunawafunga sana ila msiongee kama mlipiga mpira mwingi wkati wote tunajua mlibahatisha tu.
Kwahiyo mnabisha hatukutawala? Hizo possession unazotaka kudai mlitawala ni mwisho baada ya kuwa mmebakwa,tukawaacha mposesi back pass

Siku hiyo matic ,pogba walifungwa mawe miguuni,

Fred garasa alikuwa anazurula tu

NDIO maana man of the match Alipewa Ramsey kwa alichokifanya hapo kati,

Huku xhaka akiwa free

NASEMA HATUWEZI KUFUNGWA NA DEIWAKA

MMETUCHANGIA POINT 4

IMG-20190312-WA0017.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ndo hii ukianza kuongea mpira na watoto,zingatia nilichoandika kwanza kabla ya kukurupuka, mwenzako alidai mliongoza possesion na akaongea kana kwamba mlicheza mpira kutuzidi sana ila ukiangalia stats hapo mlichotuzidi ni magoli tu ambayo ukifatilia ni ya bahati tu...goli la kwanza upepo ulimchanganya keeper la pili mlibebwa na Refa kwa kupewa penalti..
Eti upepo,

Sema kombola....

Kwahiyo upepo ulikuwa kwetu,

Sema mlizidiwa ,timu dk 20 za mwanzo IPO nyuma tu inavizia ,unasema bahati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana unakichwa kigumu sana ww mpka sahv huelewi tulikuwa tunajadili nn, hapa napoteza muda tu kuendelea na hii mada, mwenzako niliokuwa naongea nae mwanzo nadhani ameelewa.
Kichwa chako inakiona chepesi wakati mgando umeshaambiwa soccer is a game of chance bado unaleta blabla, we umeshagongwa acha kujifariji kama mlicheza mbona hata la offside hamkupata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Weekend hii tunao wolves kwenye FA..

Aisee hapa lazima kazi kubwa ifanyike ili tuende semi-final
 
Back
Top Bottom