Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna uwezekano Mourihno akarudi tu..

Sioni Kama Ole atawapeleka top four

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan man u wamrudishe murinho. In hell.
Mtu aliwaaribia msimu na alikiwa anaipeleka timu shimoni kabisa. Tim ilishakuwa ya mchangani.

Bora ole ameweza kuirusha timu kwenye ushindani.
Kwa taarifa yako ni kuwa ole ameshifikia top 4.na top four uzur watu wamekaribina point. Means game iko open

Uyo Ole sioni Kama atawapa mnachotaka.. Mourihno kwa mf hiv mlivo UEFA angeweza kubeba...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real Madrid wameamua kumrudisha Zizzou, Chelsea wasimuwazie tena Zidane.

Kwa mtizamo wangu naona kama jamaa kabugi kurudi kule aisee,alikuwa na record nzuri NDOO 3 za EUFA ndani ya misimu mitatu mfululizo,yaani kwa sahv naona madrid wanakazi kubwa sana kurudi kama walivyokuwa mwanzo,kuziba pengo la Ronaldo ni ishu sana,na mwisho wa siku usipo deliver results kule unandoka mapema sana.
 
Sisi sio malimbukeni.. Tatizo nyie hambadiliki, mnashinda lakini mna makelele sana...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi yale makelele ya sariball yaliishia wapi? Kuna timu isiyo na kelele baada ya vichapo mnajidai hamna midomo ilikuwa kila uchwao sariball saiv mnajidai watoa ushaur na wolves alikuwa anaondoka na roho ya mtu

Kwa sasa kimya hamna sariball tena baada ya ulimbukeni wenu kukatwa na vidume

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Uyo Ole sioni Kama atawapa mnachotaka.. Mourihno kwa mf hiv mlivo UEFA angeweza kubeba...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua iko hivi
Hatusemi moja kwa moja OLe atatupatia tunachotaka.
Ila kulingana na makocha ambao wameshapita post-SAF , wote wameshidwa kuendana na club ,japokuwa wamesheheni uzoefu wa kutosha.
Kwahiy kumpa tena club kocha wa kariba hiyo kwangu mimi ni risk.
Ole ana faida moja kubwa anaijua man u. Si kuijua tuu anaipenda pia, na fans wanampenda.
Vilabu vikubwa hii sifa wanaizingatia sana, angalia barca au bayern

Ila pia ningependa kujua kwanni huoni OLE akifanikiwa Man u?

Sent using simu mbovu
 
Back
Top Bottom