Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya kupata vigoli vya mchekea sio?

Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwann usiwe ukweli , Yale mabunduki unasema vigoli?

Ukweli ni huu kwa city inayohitaji ubingwa na man u inayokaa nyuma kwa timu zinazopossess , hata sare ni ngumu kupata

Kama hauamini, siku ya mechi hii ,tukumbushane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili tufunzu top four tunakiwa tumfunge chelsea,coz yeye anakiporo pia tushinde match yetu na city spurs anawakati mugum ataenda etihadi kwa city pia anfield kwa liverpool so anaweza kutoka top four,tusiposhinda match hizo mbili especial ya city ni ngum sana match ya chelsea naona ni winable kabisa

Hamna goli pale zaidi ya upepo bahat ilikuwa kwenu tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kwann usiwe ukweli , Yale mabunduki unasema vigoli?

Ukweli ni huu kwa city inayohitaji ubingwa na man u inayokaa nyuma kwa timu zinazopossess , hata sare ni ngumu kupata

Kama hauamini, siku ya mechi hii ,tukumbushane

Sent using Jamii Forums mobile app

France anachukua world cup timu aliyoizid kumiliki mpira ni australia tu unaweza kuwa na mpira usikusaidie sasa kama timu inakaa nyuma inakufumuaje chuma 3? Kwa nini isiwe sare?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ili tufunzu top four tunakiwa tumfunge chelsea,coz yeye anakiporo pia tushinde match yetu na city spurs anawakati mugum ataenda etihadi kwa city pia anfield kwa liverpool so anaweza kutoka top four,tusiposhinda match hizo mbili especial ya city ni ngum sana match ya chelsea naona ni winable kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata ya arsenal muliona ushindi kabisa..

Ila matokeo sisi tunayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua iko hivi
Hatusemi moja kwa moja OLe atatupatia tunachotaka.
Ila kulingana na makocha ambao wameshapita post-SAF era , wote wameshidwa kuendana na club ,japokuwa wamesheheni uzoefu wa kutosha.
Kwahiy kumpa tena club kocha wa kariba hiyo ni risk.
Ole ana faida moja kubwa anaijua man u. Si kuijua tuu anaipenda pia, na fans wanampenda.
Vilabu vikubwa hii sifa wanaizingatia sana, angalia barca au bayern

Ila pia ningependa kujua kwanni huoni OLE akifanikiwa Man u?

Sent using simu mbovu
Kwa ufupi Ole hana future ..hajui kama atabaki manure msimu ujao, au ataondoka mwishoni mwa msimu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What the hell are you speaking..... zizzou aitake Chelsea timu anayoizidi hata umaarufu......are you serious kweli wew boga....Zizzou a I take timu yako 2004

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo zizzou alitoa option kama angepewa M200 angekubali kuja darajani ..lakin sisi hatukuwa na mpango naye ..pengine labda kwa sababu tumefungiwa kusajili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_0178.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom