Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mlibalance mchezo. Kaangalie statistics possession ilikua juu kwa nani, sio unamwaga uozo wako hapa. Mechi tatu unashinda moja bado unajiona una timu, ptuuuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
stati.PNG
 
Hivi yale makelele ya sariball yaliishia wapi? Kuna timu isiyo na kelele baada ya vichapo mnajidai hamna midomo ilikuwa kila uchwao sariball saiv mnajidai watoa ushaur na wolves alikuwa anaondoka na roho ya mtu


Kwa sasa kimya hamna sariball tena baada ya ulimbukeni wenu kukatwa na vidume


Sent from my iPhone using Tapatalk
Sarri ndo Kwanzaa hana hata msimu mmoja kwenya clab wachezji anaotumia hawaendan vizur na mfumo wake

Hope tutamaliza msimu katika nafasi nzuri



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo Ole sioni Kama atawapa mnachotaka.. Mourihno kwa mf hiv mlivo UEFA angeweza kubeba...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka hapa kajitahidi sana. Hata Liver hajafunga top 6 zote in out. Tulifungwa kwa Arsenal lakini hauwezi laumu sana mbinu za kocha na uchezaji wa timu. Arsenal ni timu kubwa, aliyetegemea atafungwa km Bolton ni mamluki wa soka. Zile zingine ni tambo tuu.

Hata siku tukikutana na City, tutatamba, baada ya matokeo tutakuja kivingine. Soka ni buradani haihitaji kuwa na stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom